Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Habari za jumapili!
Hawa wanaoitwa Njaa55 tukirudi nyuma kidogo kama mwaka 2015 wote wangekuwa sehemu ya Safu ya viongozi wa taifa hili.
Hawa COVID-19 ambao yadaiwa wameingia bungeni kimagumashi nao ndio wangekuwa viongozi wa nchi yeti.
Wanaitwa Wasaliti.
Wanaitwa Njaa55 Kali kama ya mtoto Njiti aliyetoka kuzaliwa.
Nataka Kusema nini Mtibeli!
Asilimia kubwa ya wanasiasa wa vyama vyote wapo kwaajili ya maslahi yao binafsi na sio maslahi ya wananchi au maslahi ya taifa. Sio CHADEMA wala sio CCM wote wengi wao wapo kwaajili ya matumbo yao.
Hata Humo CCM akitokea MTU akijianya anajali maslahi ya wananchi yaani Ile kindakindaki, MTU asiyependa wizi au kujilimbikizia Mali. Moto utawaka.
Mwaka 2030 utashangaa wanasiasa uliowategemea wakikushangaza na kukuacha mdomo wazi na maumivu moyoni.
Nini Chakufanya?