Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Pengine ingekuwa bora zaidi bado kuliko ccm ya leo iliyo kufaHabari za jumapili!
Hawa wanaoitwa Njaa55 tukirudi nyuma kidogo kama mwaka 2015 wote wangekuwa sehemu ya Safu ya viongozi wa taifa hili.
Hawa COVID-19 ambao yadaiwa wameingia bungeni kimagumashi nao ndio wangekuwa viongozi wa nchi yeti.
Wanaitwa Wasaliti.
Wanaitwa Njaa55 Kali kama ya mtoto Njiti aliyetoka kuzaliwa.
Nataka Kusema nini Mtibeli!
Asilimia kubwa ya wanasiasa wa vyama vyote wapo kwaajili ya maslahi yao binafsi na sio maslahi ya wananchi au maslahi ya taifa. Sio CHADEMA wala sio CCM wote wengi wao wapo kwaajili ya matumbo yao.
Hata Humo CCM akitokea MTU akijianya anajali maslahi ya wananchi yaani Ile kindakindaki, MTU asiyependa wizi au kujilimbikizia Mali. Moto utawaka.
Mwaka 2030 utashangaa wanasiasa uliowategemea wakikushangaza na kukuacha mdomo wazi na maumivu moyoni.
Nini Chakufanya?
Pengine ingekuwa bora zaidi bado kuliko ccm ya leo iliyo kufa
Mungu anaipenda sana CHADEMA kwa kutuondolea najisi
Kutii sheria bila shuruti.Habari za jumapili!
Hawa wanaoitwa Njaa55 tukirudi nyuma kidogo kama mwaka 2015 wote wangekuwa sehemu ya Safu ya viongozi wa taifa hili.
Hawa COVID-19 ambao yadaiwa wameingia bungeni kimagumashi nao ndio wangekuwa viongozi wa nchi yeti.
Wanaitwa Wasaliti.
Wanaitwa Njaa55 Kali kama ya mtoto Njiti aliyetoka kuzaliwa.
Nataka Kusema nini Mtibeli!
Asilimia kubwa ya wanasiasa wa vyama vyote wapo kwaajili ya maslahi yao binafsi na sio maslahi ya wananchi au maslahi ya taifa. Sio CHADEMA wala sio CCM wote wengi wao wapo kwaajili ya matumbo yao.
Hata Humo CCM akitokea MTU akijianya anajali maslahi ya wananchi yaani Ile kindakindaki, MTU asiyependa wizi au kujilimbikizia Mali. Moto utawaka.
Mwaka 2030 utashangaa wanasiasa uliowategemea wakikushangaza na kukuacha mdomo wazi na maumivu moyoni.
Nini Chakufanya?
Wamewengana namagari balaa,ila na wao wamejaza malori barabarani mpaka tunashindwa pa kujambiaWana tofauti gani na hao kila kukicha wanaongeza kodi subiri mwezi wa saba huu usikie kodi ya magari ndio utajua kama wapo watu au laa..
Kutii sheria bila shuruti.
Robert,Habari za jumapili!
Hawa wanaoitwa Njaa55 tukirudi nyuma kidogo kama mwaka 2015 wote wangekuwa sehemu ya Safu ya viongozi wa taifa hili.
Hawa COVID-19 ambao yadaiwa wameingia bungeni kimagumashi nao ndio wangekuwa viongozi wa nchi yeti.
Wanaitwa Wasaliti.
Wanaitwa Njaa55 Kali kama ya mtoto Njiti aliyetoka kuzaliwa.
Nataka Kusema nini Mtibeli!
Asilimia kubwa ya wanasiasa wa vyama vyote wapo kwaajili ya maslahi yao binafsi na sio maslahi ya wananchi au maslahi ya taifa. Sio CHADEMA wala sio CCM wote wengi wao wapo kwaajili ya matumbo yao.
Hata Humo CCM akitokea MTU akijianya anajali maslahi ya wananchi yaani Ile kindakindaki, MTU asiyependa wizi au kujilimbikizia Mali. Moto utawaka.
Mwaka 2030 utashangaa wanasiasa uliowategemea wakikushangaza na kukuacha mdomo wazi na maumivu moyoni.
Nini Chakufanya?
Robert,
Unaacha factor moja, ambayo kuna mtu kaongea, yule mwanamke ambaye yupo Marekani anaitwa Kimambi. Very clever woman. Why reforms? Uchaguzi ukuwa wa haki mnachangua mtu mwenye uwezo. CCMau Chadema, yoyote yule akiwa ana ushawishi mnampa kura. Hata akichukua nchi leo Chadema - survival yake ni kufanya vizuri akifanya vibaya tunamwondoa. Siyo suala na CCMpeke yake, ni kwa vyama vyote. Mnamchagua mwenye uwezo. Makapi kama haya ya G55 -na metaphors yanachujwa unabakia na wale wenye uwezo- throur fare election
Tunataka Mbadala Bora wa CCM, sio Bora Mbadala. CHADEMA hii hata kuongoza halmashauri moja hawataweza.