Ombenikhalungu
Member
- Nov 19, 2013
- 96
- 47
MKE: mpenzi naomba elfu tano nikanunue nyama buchani,
MUME: twende huku chumbani wakaongozana hadi kwenye kioo akaonyeshea sh elfu 5 kwenye kioo nakumwambia mkewe unaiona ile sh elfu tano kwenye kioo?
MKE: ndio
MUME: basi ile ndo yako kaichukue,hii yangu. mume karudi jioni kakuta misosi na nyama rost na choma. MUME:heh! mke wangu umepata wapi nyama hii yote?
MKE: twende chumbani mume wangu,kufika chumbani kwenye kioo akatoa kanga na kumuonyesha **** kwenye kioo akamwambia unaiona ile **** MUME:ndio,
MKE:ile **** ndo yako hii hapa ya muuza bucha.
Mume kazimia..!