Chuma kinanoa chuma

Au sio na wewe nyoka umuogop
Labda Leejay49, kama hawa wakijani nawaruhusu waende..

Ila kuna siku ni Mungu asee, umeme ulikatika, natoka ndani kwenda uani nilizunguka nyumba from front door, ile nafika kwenye geti dogo tu nasikia foooo! Nilirudi nyuma haraka sana, kurudi ndani kuchukua tochi jamaa wa kijivu ana unene kama inchi moja hivi asee, nilimkata kata balaa uzuri chepe lilikuwa refu kama yale ya wapakia mchanga kwenye malori hakunifikia kirahisi. Yule alikuwa anafuta penye joto maana ilikuwa kipindi cha mvua
 
Ni mkoa gan nijihadhar mapema kuukanyaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…