Head current
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 479
- 128
Hata sis binadamu huwa tupo hivyo!Huyu si King Cobra? maana huwa anakula nyoka wenzake..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata sis binadamu huwa tupo hivyo!Huyu si King Cobra? maana huwa anakula nyoka wenzake..
Wataalamu watatuambia..Sio koboko na chatu!?
Nyoka mchumba tu nashika kichwa namzungusha natupa kule , kwangu mimi kinyonga ni mtiti😁Dah! Kwenye kichwa cha mada ungeandika nyoka ili nisifungue huu uzi.
Leo nitalala kwa mashaka tu.😒
Yaani unaogopa kinyonga kuliko nyoka?Nyoka mchumba tu nashika kichwa namzungusha natupa kule , kwangu mimi kinyonga ni mtiti😁