kamanda wa mara
Member
- Oct 9, 2017
- 23
- 48
```Jana niliingia zangu library, palikuwa kimya sana. Wakati natafuta mahali pa kukaa, nikakutanisha macho na MTOTO mmoja hivi shombe-shombe mkali balaa. Akatabasamu kisha akainamia kitabu chake, akaendelea kusoma.```
```Moyoni nikajisemea``` *: " FURSA "*
```Nikamsogelea, kwa sauti ya chini sana iliyotutosha sisi wawili tu nikamchombeza``` *: " Habari mrembo! Ninaweza kukaa hiki kiti cha jirani yako? "*
```Akanijibu kwa sauti kubwa mno hakuna ambaye hakuisikia mle ndani``` *: " SIWEZI KULALA NA WEWE, LABDA UNIROGE "*
```Kila mtu alinigeukia Mimi na kunishangaa. Kwa unyonge nikaenda kukaa kwenye nafasi nyingine iliyokuwa wazi. Baada ya dakika mbili yule mrembo akanifuata hadi nilipokuwa nimekaa. Akiniambia kwa sauti hafifu mno``` *: " Ninasoma Psychology, hivyo ninajua unachofikiria Unajihisi nimekuaibisha sana..sio? "*
```Nikaropoka kwa sauti kubwa``` *: " LAKI 2 KWA USIKU MMOJA TU! AH...WAPI! LABDA UNIROGE "*
```Kila mtu alicheka kwa sauti mle library.```
```Alafu nikamwambia kwa sauti ya chini mno``` *: "Ninasoma Sheria, ninajua kumfanya MTU ajione mwenye hatia"*
[emoji855][emoji855][emoji855]