Chuma Ulete: Ni kweli ipo? Ipi dawa ya kuidhibiti?

Sitasahau hii kitu.NILIUZA DUKA SIKU NZIMA ALAFU JIONI NIKAWA NA 2400 tu.WAKATI NGANO NIMEMALIZA mfuko,maharage nimeuza sanaaa...lakini pesa hakuna.NIPATA ANT CHUMA ULETE TOKA KWA MTAALAM MMOJA HIvi.now safiii
 

Kaka ni pm nimsaidie kitu ata kaa anisahau
 
Sasa ni jina ila Yesu pekee.Mkabidhi maisha yako naye atalinda chochote chako.
 
Ha haa haaa,mleta mada,umenikumbusha siku mmoja,kondakta,ilibidi amruhusu mzee mmoja,ambaye kimwonekano alikuwa amechoka kimaisha,apande tu bure,baada ya yule mzee kutoa noti ya sh.5000/=

Yule mzee aliposhuka,konda alianza kusema hawa wazee wengine ni kamati za ufundi,muacheni tu aende,sh 350/= kitu gani...
 
Mkuu Pdidy, unataka hii dawa kwa ajili ya kusaka vipaji vipya au? Mbona wasanii uchwara wa bongo fleva kibao wamejazana Tandale na Mbagala na wala hawachukuliki kwa chuma ulete, bangi na unga tu unawatosha.
 
Last edited by a moderator:
mkuu pdidy, unataka hii dawa kwa ajili ya kusaka vipaji vipya au? Mbona wasanii uchwara wa bongo fleva kibao wamejazana tandale na mbagala na wala hawachukuliki kwa chuma ulete, bangi na unga tu unawatosha.
haaaahaa mkuu nimechekea nasikia haja kubwa na niko kwenye basi la mbagala kwanza mataa ya changombe nishauri
 
haaaahaa mkuu nimechekea nasikia haja kubwa na niko kwenye basi la mbagala kwanza mataa ya changombe nishauri


Ungao unao? Kama unao basi we shuka tu pale Mbagala/Charambe utawaona wasanii kibao waliokosa soko la kuropoka redioni. Wae unga wa kubwia na uwape ahadi feki nyingi baada ya muda tu utaona jinsi utakavyo tajirika wakiwa wanakubebea unga kupeleka south afrika.
 
kwa mungu wa kweli hakuna kinacho shindikana ila makanisani vingi sana huwa vinashindikana(tafadhari naomba mnielewe vizuri)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…