Chuma Ulete: Ni kweli ipo? Ipi dawa ya kuidhibiti?

Chuma Ulete: Ni kweli ipo? Ipi dawa ya kuidhibiti?

Nimetegesha sikio, waiting aggresively ...!
 
Mi nadhan ni mind power haiwezekani ukaomba change ya 1000 kisha ukaondoka na ela ya droo nzima
 
Kwa Jibu Fupi Tu Kuelezea Chuma Ulete Ni UCHAWI....

Bado Ni Kazi Ya Mind Power Lakini Hii Ni Kutumia Psychic Powers In Dark Side.. Au Kufungua Psychic Power Kwa Dark Side Ndio Matokeo Haya Taielezea Kifupi:

Kama hujui CHUMA ULETE, maana yake ni kwamba wewe unachuma halafu unampelekea mwenzako bila ya wewe mwenyewe kujua. Yaani kuna wafanya biashara wanaamini kwamba hawapati faida kwenye biashara zao kwa sababu kila wanapochuma kuna mtu wanampelekea bila kujijua. Hivyo fedha zinatoka kwao na kwenda kwa mtu mwingine kwa njia ya UCHAWI...

Mwenye Uwezo Wa Kufanya Chuma Ulete Ni Mtu Mwenye Psychic Power Type Ya Mediumship..

Huyu Anapozungumza Na Spirits Basi Zile Spirits Hujiteua Moja Ya Kufanya Kazi Na Huyo Chuma Ulete Na Kumpa Mashariti (hapa Ndipo Tunahta Dark Side) Anaambiwa Atafute Mswaki Mpya,Dawa Ya Mswaki Mpya,Mfuko Mpya, Fedha Moja Elfu 10 Mpya Iliotoka Benki Haijaguswa(hii Deal Huchezwa Na Baadhi Ya Wafanyakazi Wa Benki) n.k Naomba Nisivitaje Vyote.. Maana Nachukia Kufundisha Psychic Powers In Darkside Baada Ya Hapo Ataelekezwa Na Zile Spirits Nini Cha Kufanya... Kama Mtu Hana Mediumship Power.. Humtafuta Mtu Mwenye Mediumship Na Kumfanyia Hayo Kwa Malipo (Hapa Ndio Tunakutana Na Watu Kama Waganga Wa Kienyeji, Wapiga Ramli Na Wachawi Wa Kichungaji.. Wakikufanyia Hukukabidhi Ile Pesa Na Ndio Inakua Chuma Ulete Yako(huwa Haichakai wala kupotea)
Utaona Umepewa Pesa Kumbe Imeambatanishwa Na Spirit.. Mimi Naita Jini Mdhulumati, Wenzangu Mtaita Sijui Pepo Haya..

MATOKEO:

Sasa Kinachofanyika Hapo Ile Pesa Unakuwa Nayo Wewe Ukipeleka Dukani Kununua Kitu Hiyo Pesa Inapowekwa Karibu Na Pesa Nyingine Huvuta Zote Na Pindi Mtu Yule Atakapo Ondoka Eneo Hilo Atakae Kuja Kununua Mwingine Ndio Mwenye Pesa Zake Hutambua Kafanyiwa Hicho Kitu Kumjua Ni Ngumu Kwa Sababu Hukupumbaza Kupitia Wateja Wa Kwanza Yake Na Pili Yake Hata Sura Yake Huwezi Mkumbuka Vema....
Halafu Chuma Ulete Maskini Ni Wale Ambao Wako Chini Kwa Ufahamu Wa Chuma Ulete Ndio Maana Wanakosea Ya Kufanya Unatakiwa Utumie Chuma Ulete Kwa Mtu Ambae Hata Tetereka Ukibeba Mauzo Hata Ya Siku Tano Lakini Wengi Wanakurupuka Wanawafanyia Chuma Ulete Watu Mtaji Wake Unakuta Milioni 9.. Unapoteza Muda Chuma Ulete Wengi Ni Matajiri Maskini Wachache Tena Wengi Wazee.. wanapiga Mkoa Mmoja Tu.. Kinachovuta Zile Pesa Ni Jini Sio Dawa Na Ni Uchawi Wa Psychic Power Yule Jini Anatumia Nguvu Zako Kujicharge Na Kufanya Hayo..

Amkeni Watanzania Jini Hatumii Kitu Chake Kukusaidia Anatumia Chako Mwenyewe..

USHAURI wangu:
ukifanya Chuma Ulete Huna Hesabu Kwa Mungu Ni Uchawi Na Uharibifu, Uovu Na Dhulma..

By
#Rakims
 
Rakims thx kwa elimu ulotoa japo kwa ufupi!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umetoa somo zuri sana.
Sasa utawezaje kumdhibiti huyo chuma ulete asikuibie?

Njia Pekee Ya Kudhibiti Hii Mijitu Ni Wewe Mwenyewe Kuamini You Have Power..

Na Baada Ya Kuwa Na Power Zako Huyu Hakupi Shida.. Unaweza Kumuomba Mungu Akuepusha Na Amdhalilishe Mtu Huyo Akija Kwako,.. Na Kingine Wengi Wanapenda Kujikinga Kwa Madawa..

Kuepuka Chuma Ulete Kwa Kutumia Madawa Ni Hatari Coz U Make Deal With A Devil, Na Kuchanjwa Machale Hii Ni Hatari Pia Kwa Sababu Ni Mfano Wa Sumaku Mbili Ukiziweka Tofauti Hazikutani Ukigeuza Moja Bac Imevutwa Na Imejisaidia Kujisukuma..

Sasa Chukulia Mfano Wewe Ni Chuma Ulete Umekuja Kwangu Umekuta Namadawa Ukinikosa Kesho Ukija Kivingine?? Jibu Unalo..
Natumaini Nimekujibu Mkuu..

#Rakims
 
Njia Pekee Ya Kudhibiti Hii Mijitu Ni Wewe Mwenyewe Kuamini You Have Power..
Na Baada Ya Kuwa Na Power Zako Huyu Hakupi Shida.. Unaweza Kumuomba Mungu Akuepusha Na Amdhalilishe Mtu Huyo Akija Kwako,.. Na Kingine Wengi Wanapenda Kujikinga Kwa Madawa.. Kuepuka Chuma Ulete Kwa Kutumia Madawa Ni Hatari Coz U Make Deal With A Devil, Na Kuchanjwa Machale Hii Ni Hatari Pia Kwa Sababu Ni Mfano Wa Sumaku Mbili Ukiziweka Tofauti Hazikutani Ukigeuza Moja Bac Imevutwa Na Imejisaidia Kujisukuma.. Sasa Chukulia Mfano Wewe Ni Chuma Ulete Umekuja Kwangu Umekuta Namadawa Ukinikosa Kesho Ukija Kivingine?? Jibu Unalo..
Natumaini Nimekujibu Mkuu..

#Rakims
Yea. sasa umenijibu. asante sana.
 
Back
Top Bottom