Chumaulete kwenye Tigopesa; namshindaje huyu adui?

floow

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2017
Posts
411
Reaction score
855
Habar zenu wakuu
Naandika huu Uzi nikiwa na masikitiko makubwa sana . .
Nimefanikiwa kua na kibanda changu cha tigopes maeneo flani hapa dar...

Kabla sijamuweka mtu Wa kufanya huduma kwenye ofisi iyo nimeamua nikae mwenyewe angalau wiki 2 ili niusome upepo na changamoto za pale...

Ninacho kumbana nacho ni mauzauza tuu..kwa upande Wa wateja nashukuru MUNGU mzunguko ni mzur,,jambo linalo nitatiza ni wakati Wa kufunga esabu usiku

Kila ninapopiga esabu za mtaji ninao tumia,lazima nikute hasara...mwanzo nilikaa siku 4 bila kufanya hesabu siku ya 5 nafanya hesabu nikakuta hasara ya 50000 ...nikaamua niwe nafanya hesabu kila siku lakini mambo ni yaleyale ..mpaka sasa Nina siku 12 katika kaz lakini Nina hasara ya tsh 115000 jambo ambalo sikutegemea

Hisia zangu zote zimeenda kwa Chuma ulete. Ndugu zangu namshindaje huyu adui Chuma ulete ? Anako elekea ataniteketeza
 
ungechora cash book uwe unaandika fedha ilifunga nayo duka asubui kama capital alafu iendelee zimazoingia na kutuka uziweke usiku ujaribu Ku balance accounts ujue una faida au hasara.

usisahau kuandika gadi ela ya bajaji, chakula ata 50 ukiitoa kwenye biashara iandike tu
 
Biashara hii inataka umakini wakati wa kumuwekea mteja pesa. Unaweza weka 100,000 badala ya 10,000, hesabu vizuri pesa wanazokupa wateja unakuta anakupa elfu tano tano kwenye laki 2 halafu anachomoa elfu kumi makusudi. Otherwise utafanya kazi ya bure maana commission zao sahivi ni ndogo ukipoteza laki ni hasara mno
 
Sawa mkuu
 
hahahahahaaaa hauna jirani yoyote hapo anaefanya biashara kama yako??? kama yupo fanya mpango ukaweke kinga ya biashara yako.....

sio ukaroge....ukaweke kinga...

Najua watu wataniletea vimaneno kwa kusema hvo bt nnauzoefu na biashara...ina mauza uza mengi sana.....kafanye hvo
 
Hakuna chuma ulete wala kuni ulete hapo, kichwa chako kinawaza ushirikina tu na hili jambo ndio linafanya wengi wafeli!
Na usipochunga, utadanganywa na utafilisiwa mtaji wako wote na atakayekuambia atakusaidia hayo machumaulete usemayo!
Acha uzwazwa kuwa makini...
Chuma ulete huijui...
 
Jitahidi kuwa makini hasa kwenye biashara kama yako hiyo,.mambo ya chuma ulete sijui nini hebu yaweke pembeni kwanza,..namba zinahitaji utulivu wa akili mkuu.
 
hahahahahaaaa hauna jirani yoyote hapo anaefanya biashara kama yako??? kama yupo fanya mpango ukaweke kinga ya biashara yako.....

sio ukaroge....ukaweke kinga...

Najua watu wataniletea vimaneno kwa kusema hvo bt nnauzoefu na biashara...ina mauza uza mengi sana.....kafanye hvo
Hiyo kinga ikoje mkuu
 
Hiyo kinga ikoje mkuu
sasa kwani nimekwambia mi ndo fundi!!?? piga hata maombi mwagia maji ya baraka kwenye duka lako na pia sehemu unayoweka pesa weka biblia......kama nimuislam pia waweza fata taratibu za dini yako....katika kulinda mali zako.

Kama kote huko huamini basi nenda kwa mganga wa kienyeji nao huwa mambo yao nimeahuhudia yakiwa na effect.

Ndo kinga nnazozizungumzia.
 
hakuna chuma ulete niwewe mwenyewe hujui hesabu na hauko makini
 
Habar zenu wakuu
Naandika huu Uzi nikiwa na masikitiko makubwa sana . .
Nimefanikiwa kua na kibanda changu cha tigopes maeneo flani hapa dar...

Kabla sijamuweka mtu Wa kufanya huduma kwenye ofisi iyo nimeamua nikae mwenyewe angalau wiki 2 ili niusome upepo na changamoto za pale...

Ninacho kumbana nacho ni mauzauza tuu..kwa upande Wa wateja nashukuru MUNGU mzunguko ni mzur,,jambo linalo nitatiza ni wakati Wa kufunga esabu usiku

Kila ninapopiga esabu za mtaji ninao tumia,lazima nikute hasara...mwanzo nilikaa siku 4 bila kufanya hesabu siku ya 5 nafanya hesabu nikakuta hasara ya 50000 ...nikaamua niwe nafanya hesabu kila siku lakini mambo ni yaleyale ..mpaka sasa Nina siku 12 katika kaz lakini Nina hasara ya tsh 115000 jambo ambalo sikutegemea

Hisia zangu zote zimeenda kwa Chuma ulete. Ndugu zangu namshindaje huyu adui Chuma ulete ? Anako elekea ataniteketeza
Binafsi siamini katika chuma ulete. Ila hiyo biashara usipo kuwa makini utapoteza hela bure na utashindwa kujua tatizo kwa kuwaza kuwa kuna chuma ulete. Ongeza umakini, Fanya uhakiki wa miamala kwa kutulia kwako na kwa mteja, wakija wateja wengi usipate wenge hudumia mmoja mmoja.
 
Back
Top Bottom