Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafanyia kazi yako wapi?Hakuna chuma ulete wala kuni ulete hapo, kichwa chako kinawaza ushirikina tu na hili jambo ndio linafanya wengi wafeli!
Na usipochunga, utadanganywa na utafilisiwa mtaji wako wote na atakayekuambia atakusaidia hayo machumaulete usemayo!
Acha uzwazwa kuwa makini...
Chuma ulete huijui...
Umesha jaribu hii mbinu,tupe mrejeshoDawa yake kila ukifanya transaction hesabu pesa zako,uje na mrejesho hapa!