stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,884
- 4,479
Ndipo wote tukajiuliza hiki ni kiini macho au ni uchawi?? Hebu tusaidieni wandugu namna ya kujinasua kufanyiwa hivi tena
hayo mambo yapo mkuu, huku kusini wanaita chitola au mang'opa. wanadai kama umepokea hela kutoka kwa mtu mwenye tabia hiyo, basi usizichanganye na hela zako nyingine kwa kipindi fulani cha muda, vinginevyo hela zako zote ziatatoweka. hii inawezekana kwa maeneo ya vijijini ambako watu wanafahamiana tabia, kwa mjini ni ngumu kuizuia
Nasikia wanatumia pia kwenye mazao ya shambani!
Uchawi wa aina hii mbaya sana.Ndo mara ya kwanza nasikia hii .Nashukuru kwa taarifa.
Ni kwamba unaweza kulima sana na mazao yakawa yamekubali (unaweza sifiwa na watu kuwa hautakuwa na tatizo la chakula katika msimu huo!). Tatizo linakuja wakati wa uvunaji. Kiasi utakachopata ni kiduchu sana kwani mazao mengine ni kama unamvunia huyo mwenye dawa! Ni ajabu lakini ni kweli!heee acha bwana hadi kwenye mazao?? Inakuwaje hiyo??
Ni kwamba unaweza kulima sana na mazao yakawa yamekubali (unaweza sifiwa na watu kuwa hautakuwa na tatizo la chakula katika msimu huo!). Tatizo linakuja wakati wa uvunaji. Kiasi utakachopata ni kiduchu sana kwani mazao mengine ni kama unamvunia huyo mwenye dawa! Ni ajabu lakini ni kweli!
Habarini??
Nadhani wengi wetu mmekwisha sikia hii habari ya chumaulete hasa kanda hizi za pwani kama tanga na pwani
Hivi majuzi nilikwenda kumtembelea jamaa yangu mmoja anakibanda cha Mpesa, gafla akaja mzee mmoja anataka kuwekewa hela laki tatu kwahiyo akatoa elfu10 thelathini akampa ndugu yangu yule amuwekee hata mimi niliona kuwa zote ni elfu kumikumi akamuingizia laki3
Baada ya hapo sasa ndipo akajakugundua kuwa kaibiwa baada ya kukuta zile hela mahali alipoweka zote ni elfu mojamoja zipo30 kwahiyo jumla yake ni elfu 30.
Ndipo wote tukajiuliza hiki ni kiini macho au ni uchawi?? Hebu tusaidieni wandugu namna ya kujinasua kufanyiwa hivi tena
hayo mambo yapo mkuu, huku kusini wanaita chitola au mang'opa. wanadai kama umepokea hela kutoka kwa mtu mwenye tabia hiyo, basi usizichanganye na hela zako nyingine kwa kipindi fulani cha muda, vinginevyo hela zako zote ziatatoweka. hii inawezekana kwa maeneo ya vijijini ambako watu wanafahamiana tabia, kwa mjini ni ngumu kuizuia
wewe ni muongo au mbinafsi, kama ulikuwa unajua yote hayo kwanini usinge anzisha uzi? umesubiri mpaka mtu mwingine aanzishe uzi!!! Tabia hii ikomeshwe mara moja, kama unajua kitu, anzisha uzi, sio unasubiri mpaka mtu mwingine aanzishe. Kama stable woman asinge anzisha uzi huu, haya tungeyajuaje?
Uzi wowote wenye neno " ghafla" kwenye aya ya kwanza huwa ni stori ya kutungwa.
Hayo mambo yapo sana na dawa ni moja tu haihitaji uchawi wala kwenda kwa mganga....
Unapoweka pesa zako weka kipisi cha mkaa mweusi tiiii uliotumika kabsa...
Wakifanya hyo michezo tena basi watakua ni zaidi ya noma.....
duh aisee hii nayo kali watu wanapenda kuishi bure kupitia jasho la mwingine