ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Nilisoma kitabu kimoja cha true story ya 'ex-mchawi', nakumbuka alisema kuwa chuma-ulete haiaffect mabenki na maduka makubwa kwa sababu wanatunza hela zao kwenye vyombo vya chuma. Ndio dawa hiyo. Huo uchawi haufanyi kazi kwenye vyombo vya chuma mf. safe.
Pia kuna njia nyingine kama kuweka mkaa au limao kwenye chombo cha kuweka pesa.
Pia kuna njia nyingine kama kuweka mkaa au limao kwenye chombo cha kuweka pesa.