Chumaulete ni uchawi au kiini macho?

Chumaulete ni uchawi au kiini macho?

Nilisoma kitabu kimoja cha true story ya 'ex-mchawi', nakumbuka alisema kuwa chuma-ulete haiaffect mabenki na maduka makubwa kwa sababu wanatunza hela zao kwenye vyombo vya chuma. Ndio dawa hiyo. Huo uchawi haufanyi kazi kwenye vyombo vya chuma mf. safe.

Pia kuna njia nyingine kama kuweka mkaa au limao kwenye chombo cha kuweka pesa.
 
Uanajua wanaokataa sayanc ya kiafrika wakatae tuu ila ipo.. Mimi kuna rakikiyangu alipewa kijiti na babu yake na ila masharti yake kisiguswe na mwanmke anaebleed. Tulikuwa yunasafiri bila hella .. Kwa mfano tunatoa 500 tunarudishiwa na chench.tunaenda hotelin tunakula watu wa2 tunatoa 500 na tulikuwa tukiingi sehemu yenye kinga kijiti kilikuwa kinabadilika rangi hapo hatuingii jamaa alikuja akakosea akachukua dem..bahati mbaya akakigusa ikawa ndio basi tena.
 
Nafikiri hao wanaochuma namna hiyo hiyo hela au mavuno yanapitia mikononi mwao tu kwenda kwingineko nadhani kuzimu ambayo wansema iko chini ya bahari na kuna miji na viwanda kama huku kwetu!
 
Uanajua wanaokataa sayanc ya kiafrika wakatae tuu ila ipo.. Mimi kuna rakikiyangu alipewa kijiti na babu yake na ila masharti yake kisiguswe na mwanmke anaebleed. Tulikuwa yunasafiri bila hella .. Kwa mfano tunatoa 500 tunarudishiwa na chench.tunaenda hotelin tunakula watu wa2 tunatoa 500 na tulikuwa tukiingi sehemu yenye kinga kijiti kilikuwa kinabadilika rangi hapo hatuingii jamaa alikuja akakosea akachukua dem..bahati mbaya akakigusa ikawa ndio basi tena.
Hahahaaa hapo ni lazima akatambike kwenye kaburi la babu...Hii makitu Mtwaraimejaa sana, kuna wazee wao ni kahawa tu na bao kila uchao...ukipita anga zao lazima uchumwe! ! Ela yao ikigusa wallet yako hoi.
 
Nasikia wanatumia pia kwenye mazao ya shambani!

Kuna mmama kule Ludewa amewahi kukamtwa mchana wa saa 7 akiwa uchi wa mnyama huku aki (samahani kiswahili chake sijui, ila ni kile kitendo baada ya kukata gogo porini, mtu anakwaruza makalio yake chini kama nyani kwa lengo la kucha.mba.
Kwa kipangwa tunasema khukhwenena ila kwa kiswahili sijui)
Sasa yule mama alikamatwa ameanzia upande wa juu wa shamba kuelekea chini.
Sasa kumbe ile stile kama kwenye computer tungesema ku-high light. Yaani ile sehemu aliyo HIGH LIGHT yote, huwezi kupata mazao, kama ni mahindi utaambulia migagi tu na vijimahindi kiduchu.
Sasa mtu wa nanmna ile ukimkamata, akili yake huwa inastraki na dawa yake ni kumpa kipigo ndio atapata akili ya kukibia bila hivyo atafia shambani huku akiendelea ku HIGH LIGHT mwanzo mwisho. Na mtu mwenye uwezio wa kumkamata ni yule tu mwenye uwezo fulani.
Sasa yule jamaaa baadaya kumkamata mwizi wake, badala ya kumpiga akamgegeda vizuri sana, tangu mwaka huo hadi leo hajarudia tena.
 
Back
Top Bottom