Weka picha cha hicho 45k nahitaji kupanga mkuu kipo olasiti karibu na kanisa walipolipua mabomu?Malipo 45,000/= (kwa mwezi)
Public toilet. (Single rooms)Ndio chief. Vina fanana check hichoView attachment 875793View attachment 875794
sekei ingependeza zaidiHhaaah hapo imepoa chief, karibu
Ntakucall kesho nije kukiona,namba yangu inaishia na 400.Ndio chief. Vina fanana check hichoView attachment 875793View attachment 875794
Kama ww ni Dalali, nitafutie pia maeneo ya ngareroo, mianzini au kaloleni usicheze mbali na mjnNi txt kwa mawasiliano hapo juu tuwasiliane.
Dalali mwanafunziWewe sio dalali ila ulipwe kama dalali. Kwa hiyo wew ni nani sasa?