House4Rent Chumba cha kupanga Arusha (Master)

House4Rent Chumba cha kupanga Arusha (Master)

Jagood

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2016
Posts
2,141
Reaction score
2,388
Upo Arusha na unahitaji chumba cha kupanga
Master ina
Chumba 1
Sebule 1
Choo ndani
Luku ni yako
Maji ya bomba yapo
Maji ya kisima yapo yanapandishwa kwa mota
Malipo 150,000/= (kwa mwezi)
Kuanzia miezi 3
Pia Single room ipo 1
Malipo 45,000/= (kwa mwezi)
Kuanzia miezi 3
Umeme, maji mnashare na wapangaji wenzio
Mahali Arusha,Olacity
Kituo Kanisa la mabomu/chadema
Sio dalali ila utanilipa kama dalali.
0712_264469
20180923_161529.jpg
20180923_161532.jpg
20180923_161539.jpg
20180923_161640.jpg
20180923_161608.jpg
 
Hamjaanza kushusha bei tu hizo nyumba za Arusha?Fanyeni 100k bwan tuondoke kwa wazazi,just kiding!!!kila la heri
 
Back
Top Bottom