Chumba cha kupanga kinahitajika, eneo la Buza, Dar

Chumba cha kupanga kinahitajika, eneo la Buza, Dar

weka picha hivyo kwa mama kibonge....
Mm sipo huko zilipo nyumba,lkn km we ni mpangaji kweli,kwetu huwezi kukosa chumba. Tuna vyuma vya aina zote mpaka apartment...!!
 
Mm sipo huko zilipo nyumba,lkn km we ni mpangaji kweli,kwetu huwezi kukosa chumba. Tuna vyuma vya aina zote mpaka apartment...!!
ok mkuu niambie aina zake na bei zake
 
karibu kipo cha 15,000Tsh kwa mwezi, unalipia kuanzia miezi sita. Umeme, maji, kina vigae, ni self contained, gari inafika mpaka mlangoni./karibu na barabara kuu. Note.. Chamsingi.. Hairuhusiwi kuingiza mwanamke ndani, wala kuishi na mwanamke ndani..😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😵😵😵😵😵😵😵😵
Duh!!!
 
mi pia nataka chumba na sebule buza lkn isiwe mbali kutoka road ....kama vinapatikana tuwasiliane
Kipo ndugu sema ni chumba,sebule na jiko mita ya kwako pekee na maji pia yapo. Hakuna dalali, ukija unamlipa unahamia
 
Back
Top Bottom