weka picha hivyo kwa mama kibonge....Piga 0685424384. Nikupe chumba unachotaka! Vipo kwa mama kibonge...!
Mm sipo huko zilipo nyumba,lkn km we ni mpangaji kweli,kwetu huwezi kukosa chumba. Tuna vyuma vya aina zote mpaka apartment...!!weka picha hivyo kwa mama kibonge....
silling bodIna board gani?
ok mkuu niambie aina zake na bei zakeMm sipo huko zilipo nyumba,lkn km we ni mpangaji kweli,kwetu huwezi kukosa chumba. Tuna vyuma vya aina zote mpaka apartment...!!
Piga simu number nimeweka hapo..ok mkuu niambie aina zake na bei zake
Duh!!!karibu kipo cha 15,000Tsh kwa mwezi, unalipia kuanzia miezi sita. Umeme, maji, kina vigae, ni self contained, gari inafika mpaka mlangoni./karibu na barabara kuu. Note.. Chamsingi.. Hairuhusiwi kuingiza mwanamke ndani, wala kuishi na mwanamke ndani..π±π±π±π±π±π±π±π±π±π±π±π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅
ok ....Piga simu number nimeweka hapo..
Karibu sana Buza Kanisani ukihamia nakuja kukutembelea
Kipo ndugu sema ni chumba,sebule na jiko mita ya kwako pekee na maji pia yapo. Hakuna dalali, ukija unamlipa unahamiami pia nataka chumba na sebule buza lkn isiwe mbali kutoka road ....kama vinapatikana tuwasiliane
nambie bei mkuuKipo ndugu sema ni chumba,sebule na jiko mita ya kwako pekee na maji pia yapo. Hakuna dalali, ukija unamlipa unahamia
BeiKipo ndugu sema ni chumba,sebule na jiko mita ya kwako pekee na maji pia yapo. Hakuna dalali, ukija unamlipa unahamia
sh ngapi mkuuKipo ndugu sema ni chumba,sebule na jiko mita ya kwako pekee na maji pia yapo. Hakuna dalali, ukija unamlipa unahamia