Mama mwenye nyumba
Mtoto wa mwenye nyumba
Madalali
Baba mwenye nyumba
Mzee baba uliyepanga
Mrembo uliyepanga
Nliowataja hapo juu kama una habari zozote kuhusu chumba unijuze,,
Kiwe na sifa zifuatazo:-
1,kiwe mkoa wa mwanza ; karibu na Buzuruga stand,meko,national n.k
2, master room
3,maji yawepo
4,umeme
5,kiwe ndani ya geti