Chumba chako ni chako na mume wako tu

Chumba chako ni chako na mume wako tu

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Chumba chako ni chako na mume wako tu. Haipendezi chumba cha wanandoa kuingiwa kiholela na watu ambao washavunja ungo iwe mschana wa kazi, wakwe, mawifi, mashemeji, majirani au yeyote yule.

Chumba chako kikikosa staha na ndoa yako pia itakosa kuheshimiwa. Unapolala na mumeo hapafai kuonekana na watu wengine kwani ni aibu na inaweza kuleta fitna. Tujihadhari!

Hata kama unaishi kwenye chumba kimoja weka pazia itakayotenganisha kitanda chako na sehemu ambayo unaweza kukarubishia wageni.

1733676356790.jpg
 
Back
Top Bottom