kedekede
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 5,313
- 7,714
Bora hivi nilivyokuwa sijajenga mkuu kuliko kumiliki takataka!Mi sio muuzaji lakini kuita nyumba ya mtu takataka ni kosa kubwa sana...Nakuombea uanze ujenzi ndio utaelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora hivi nilivyokuwa sijajenga mkuu kuliko kumiliki takataka!Mi sio muuzaji lakini kuita nyumba ya mtu takataka ni kosa kubwa sana...Nakuombea uanze ujenzi ndio utaelewa
Sasa wewe Nyumba umenionyesha nakwambia nimtume ndugu aje muyajenge umekaa kimya au nawe ni wale wale niliokuwa siwataki ama huna uhakika na kazi yko?Hii ina 4bedrooms ( All selfcontained )
Monthly rent Tshs 1.8View attachment 1799361View attachment 1799362View attachment 1799365View attachment 1799366View attachment 1799367View attachment 1799368View attachment 1799369View attachment 1799370
[emoji1][emoji1]Hata Kama mwenye nyumba ana njaa kiasi ngani chumba laki20 kwa mwenzi du
Mahali: Mbezi Beach Makonde,
Kodi ya Mwezi: Tshs 120,000
Malipo ya Miezi: 3 au 6
Ipo karibu sana na kituo cha daladala, dakika moja upo kituoni.
Maji ya bomba/dawasa masaa 24, Uzio na geti, egesho la usafiri lipo Usalama wa kutosha.
Maelezo zaidi: 0716442950
View attachment 1798990View attachment 1798991View attachment 1798992