Chumba kinapangishwa magomeni mapipa,karibu na kituo cha jangwani

Chumba kinapangishwa magomeni mapipa,karibu na kituo cha jangwani

Future president

Senior Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
144
Reaction score
39
Nimesikia na kuletewa hili na kuhakikisha nami nawasilisha,kuna chumba kinapangishwa maeneo ya magomeni mapipa,mtaa wa magomeni mwisho,karibu kabisa na kituo cha jangwani,bei ya chumba ni 40,000/= kwa mwezi kuna utulivu wa kutosha maji hapo hapo na umeme upo wa luku,kwa wasela kariakoo,posta kwa ngondi,Mawasiliano muhusika 0788941534
 
Back
Top Bottom