Chumba kinapangishwa mbezi beach

Chumba kinapangishwa mbezi beach

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,146
Reaction score
371
Kipo Mbezi Beach maeneo ya Tangi Bovu. Kipo upande wa kulia ukiwa unatokea Mwenge unaelekea Tegeta. Kipo ndani ya fence. Umeme na maji vinapatikana. Choo kipo kwa nje. Mazingira safi. Kodi 70,000 kwa mwezi. kwa maelezo zaidi piga simu 0717114409 au email [email protected]
 
Subiri waje wapangaji
 
chumba kimoja tu? choo kipo distance gani kutoka kwenye chumba?
 
snapshot mkuuu vp? itakuwa poa ma picha kama yapo
 
Back
Top Bottom