nina ndoto
Member
- Feb 6, 2018
- 40
- 28
Natafuta mpangaji sio comments wakuu kama umeelewa maelezo nicheki pm uchukue chumba kama hujapenda kaushaUnataka huyo binti umfanyie nn?
Halafu kodi si wamesema ni kuanzia mwezi mmoja ww hiyo sita yote ya nn?
mimi nilitaka nimuweke mchepuko wangu.. sababu umesema haturuhusiwi hata kulipa kodi nimekuachia ulale mwenyewe
Natafuta mpangaji sio comments wakuu kama umeelewa maelezo nicheki pm uchukue chumba kama hujapenda kausha
Ndo maana Umekuja Kutafuta JF mtaani Washakukimbia wewe... Vyumba haviuzi unaonekana Mnonko...Natafuta mpangaji sio comments wakuu kama umeelewa maelezo nicheki pm uchukue chumba kama hujapenda kausha
Kuweni na akili bhasi nyie magreat thinker mnaojifanya kila kitu mnajua ..
Eleweni masharti ya mwenye huyu mpangaji aliyekuwepo alielewa na akakubali mpaka Leo yupo na hajawi kuombwa mzigo na mwenye nyumba
Hayo ni masharti ya mtu kama hutaki unaacha