House4Rent CHUMBA KINAPANGISHWA

House4Rent CHUMBA KINAPANGISHWA

nina ndoto

Member
Joined
Feb 6, 2018
Posts
40
Reaction score
28
Chumba kiko mbezi mwisho kodi elfu sitini kwa mwezi kulipa kuanzia miezi sita..

Chumba kina choo ndani tiles chini pamoja na gypsum bila kusahau maji na geti kubwa.

Masharti ya chumba mpangaji awe ni binti asiye na Mme wala mtoto kwa upande wa njemba mtanisamehe sana..

Room za wapangaji ziko mbili..anahitajika mpangaji mwingine tena kuziba pengo LA chumba..
9f22c7e032a1ad97fc543a119c7f7683.jpg

f1b0500f62ea9277cfeb0509d806855a.jpg

040443890f0361565bdff8f2c74b49e2.jpg

e3a7d5e29ddbc9a8ea9d1b3501048feb.jpg
 
Unataka huyo binti umfanyie nn?

Halafu kodi si wamesema ni kuanzia mwezi mmoja ww hiyo sita yote ya nn?
 
mimi nilitaka nimuweke mchepuko wangu.. sababu umesema haturuhusiwi hata kulipa kodi nimekuachia ulale mwenyewe
 
Unataka huyo binti umfanyie nn?

Halafu kodi si wamesema ni kuanzia mwezi mmoja ww hiyo sita yote ya nn?
Natafuta mpangaji sio comments wakuu kama umeelewa maelezo nicheki pm uchukue chumba kama hujapenda kausha
mimi nilitaka nimuweke mchepuko wangu.. sababu umesema haturuhusiwi hata kulipa kodi nimekuachia ulale mwenyewe
 
Natafuta mpangaji sio comments wakuu kama umeelewa maelezo nicheki pm uchukue chumba kama hujapenda kausha

chumba cha kuishi na mwenye nyumba kinq kazi sana... maana hata nikilipia.. siku nikija lala kwa mchepuko wangu utanifurumusha
 
ungekua hutaft comment usingepost sehem ambayo unajua watu watacomment ...ungepost magazetini...hlf kwa tangazo lako ata km unahitaj msichana husingeweka wazi maana ata km kuna msichana anahitaji chumba kwa jinsi ulivyokazia hvo anaweza akaogopa kukichukua ..OVA
 
Natafuta mpangaji sio comments wakuu kama umeelewa maelezo nicheki pm uchukue chumba kama hujapenda kausha
Ndo maana Umekuja Kutafuta JF mtaani Washakukimbia wewe... Vyumba haviuzi unaonekana Mnonko...

Weka Wanafamilia wako sasa.. lugha gani Hizi unatumia humi
 
WEWE HAO MABINTI WA NIN? ASIWE NA MUME WALA MTOTO, ILI UWATOM.BE? Acha kudhalilisha wanawake
 
Kuweni na akili bhasi nyie magreat thinker mnaojifanya kila kitu mnajua ..

Eleweni masharti ya mwenye huyu mpangaji aliyekuwepo alielewa na akakubali mpaka Leo yupo na hajawi kuombwa mzigo na mwenye nyumba

Hayo ni masharti ya mtu kama hutaki unaacha
 
Ww umejua vp kuwa na ww una akili?
Kuweni na akili bhasi nyie magreat thinker mnaojifanya kila kitu mnajua ..

Eleweni masharti ya mwenye huyu mpangaji aliyekuwepo alielewa na akakubali mpaka Leo yupo na hajawi kuombwa mzigo na mwenye nyumba

Hayo ni masharti ya mtu kama hutaki unaacha
 
House for rent/chumba kinapangishwa plus hayo masharti
bila shaka wewe ni mtambo.
 
Back
Top Bottom