House4Rent Chumba masta na Sebule - Mbezi Beach

House4Rent Chumba masta na Sebule - Mbezi Beach

Nayeye Kama yupo serious, aseme anataka mbezibeach sehemu gani ili nijue namsaidiaje..

We mshenzi sana unaulizwa nyumba iko wap na wewe unauliza unataka iwe wap? Hahaha aisee elim elim elim! Umepost nyumba taja ilipo mtu kama atapendezwa aje kuona

Hawa ndo wanafanya madalali waonekane wapuuzi! Yaan 0 brain
 
Zamani ni lini?

Mimi nimejenga nyumba Mbezi Beach wakati Tangi Bovu lipo bado.

Tatizo hujui tofauti ya "hadithia" na "adisia"
Ata wewe ujuhi, "hadithia" pia sio kiswahili fasaha ... "Simulia"
 
Zamani ni lini?

Mimi nimejenga nyumba Mbezi Beach wakati Tangi Bovu lipo bado.

Tatizo hujui tofauti ya "hadithia" na "adisia"
Wanye Nyumba Mbezibeach wanajulikana, sema kama ulipewa site ulinde
 
Wanye Nyumba Mbezibeach wanajulikana, sema kama ulipewa site ulinde
Wewe Dalali ndiye unanituhumu mimi kupewa site nilinde?

Wewe mpuuzi unaelewa kwamba wewe unafanya biashara hapa, mimi napita kuangalia habari tu.

I don't have anything to lose here.

You do.

Do you understand that?
 
Wenye Akili timamu wanaelewa hizi changamoto

Changamoto zipo ili zitatuliwe, lakini inatakiwa itumike busara na maarifa kwenye kuzitatua.

Wewe haumfaham Kiranga , mambo ya kwamba ana uwezo au hana uwezo wa kujenga Mbezi Beach ungeachana nayo ukajikita kwenye biashara yako, kwa sababu tunauhakika wewe ni Dalali sasa kwa huo mwendo wa kuvagaa watu usiowajua ndio nikakwambia umeshaharibu soko hapa JF.
 
Ni kweli mkuu hili suala linahitaji busara bande zote kwangu na kwake, yeye pia hakutumia busara..
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi hawa ndio wale madadali akikushika mkono wakati wa kuasiliamiana afu akikuonesha chumba lazima ulipie, kesho yake unaanza kujiuliza nimelipiaje hiki chumba ...ebu sema mbezi beach sehemu gani?
 
Wewe hujui hata kuandika hujui.

You are a bottom feeder stinking twat parasite who live off of other people's assets.
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hahahahaa umemtusi vikubwa sana...
 
Back
Top Bottom