House4Rent Chumba master 100,000/= kinapangishwa Ubungo Riverside

House4Rent Chumba master 100,000/= kinapangishwa Ubungo Riverside

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
2,490
Reaction score
3,584
Habari wadau!
kuna Chumba master 100,000/= kinapangishwa Ubungo Riverside
Malipo miezi minne (4)
#Nyumba INA fence
#Maji 24/7
#Usalama wa uhakika.
#wapangaji wawili
#Luku yako
Call/SMS :0620533957
IMG_20200505_123211.jpg
IMG_20200505_123211.jpg
IMG_20200505_122651.jpg
IMG_20200505_123211.jpg
IMG_20200505_123225.jpg
IMG_20200505_123242.jpg
IMG_20200505_123009.jpg
 
Habari wadau!
kuna Chumba master 100,000/= kinapangishwa Ubungo Riverside
Malipo miezi minne (4)
#Nyumba INA fence
#Maji 24/7
#Usalama wa uhakika.
#wapangaji wawili
#Luku yako
Call/SMS :0620533957View attachment 1441342View attachment 1441342View attachment 1441341View attachment 1441342View attachment 1441343View attachment 1441344View attachment 1441345
mwambie boss aimarishe milango hata aweke grill mkuu, hiyo nayoiona hapo siyo salama kabisa...
 
Chumba master kikoje au ni chumba na master,

Au ni sebule kubwa

Au ni chumba na corridor / veranda
 
Weka Grill Mlangoni, Dar Vibaka ni wengi Kiasi ukifika Usiku wa manane wakiruka fence kwa ndani huo Mlango wanafungua kwa kutumia Ndoo/fatuma Kiulaini sana..
 
Mwizi apapita apa tena kibaka

Alafu hizo dirsha ulizo onyesha apo mbona kama ni nyumba tofauti uku naona Alluminium kule naona Nondo ya Nyavu..View attachment 1441521
Kuna fence mbili unaingia geti hilo harafu kwa landlord unakutana na geti jingine LA tenants ilo ni maximum security ina electrical fence,hiyo nyumba huwezi iba labda km haujitaki.
 
Kuna fence mbili unaingia geti hilo harafu kwa landlord unakutana na geti jingine LA tenants ilo ni maximum security ina electrical fence,hiyo nyumba huwezi iba labda km haujitaki.
acha ubabaishaji kubali tu kuwa nyumba unayodalalia haina usalama, mshauri boss wako afanyie kazi mapungufu uliyoshauriwa kisha njoo tangaza tena , haiwezekani ukaweka electric fence wakati milango na madirisha ya nyumba umeweka mbao tu
 
Back
Top Bottom