DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Warekebisha hilo sink hapo ndani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chumba master kikoje au ni chumba na master,
Au ni sebule kubwa
Au ni chumba na corridor / veranda
alaMwenye nyumba anapangisha elfu 60 kwa mwezi dalali anataka apate elfu 40 kila mwezi
Ukienda kichwa kichwa dalali nae anakuwa anapata share yake kila mwezi.Dalali si huwa anachukua mwezi mmoja anapita kushoto mkuu? au wapo ambao wamegeuka kuwa na share na wenye nyumba?
ala
Nimependa kile kipengele cha *Malipo miezi mi4...*
Hichi kipengele sijawahi kukiona kwa madalali wengine.
Kweli covid19 inatunyoosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukienda kichwa kichwa dalali nae anakuwa anapata share yake kila mwezi.
Sasa kama hilo geto hapo ni la kupangisha laki
Unaishi wapi mkuranga ??Ukienda kichwa kichwa dalali nae anakuwa anapata share yake kila mwezi.
Sasa kama hilo geto hapo ni la kupangisha laki
Duh mzee unachanganya mafile sasa..Huyo mwizi anaanzaje Ku jump hiyo fence labda ninja?View attachment 1441481i
Ngoja Chuo kifunguliwe Tu maana unasumbua kila post ikipostiwa jf unakosoa,ngoja utaenda kumkosoa lecturer wako wa Development Study Corona ikiisha.hivyo Vyoo kiongozi , maji hakuna?
Utawaokota maboya wenzako.Hacheni wivu wengine unakuta mnalala kwa shemeji,harafu unakoment uwaki mijengo ya watu hii NYUMBA Sinza ,Mikocheni 200k na watu wanaishi nayo.
Wa Mbagala ,Kibaha,nje nje ya mji ndio wanashangaa wanaona laki kubwa
Hajui hata kuibaDuh mzee unachanganya mafile sasa..View attachment 1441649
Hata tukiweka mizani sikuwezi kwa kiwango cha uboya!Utawaokota maboya wenzako.
Useless kabisa..[emoji23][emoji23]Hajui hata kuiba
Jamaa kachanganga mafile iyo electric fence ni ya nyumba nyingine kabisa angalia huku kuna sehemu nime tumia JF VAR..acha ubabaishaji kubali tu kuwa nyumba unayodalalia haina usalama, mshauri boss wako afanyie kazi mapungufu uliyoshauriwa kisha njoo tangaza tena , haiwezekani ukaweka electric fence wakati milango na madirisha ya nyumba umeweka mbao tu
ilo la nondo na nyavu ni 40 kabisa sio ata 60 maana fence anayo dai inaizunguka nyumba iyo sio kabisa ni ya nyumba nyingineUkienda kichwa kichwa dalali nae anakuwa anapata share yake kila mwezi.
Sasa kama hilo geto hapo ni la kupangisha laki