TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
mwambie boss aimarishe milango hata aweke grill mkuu, hiyo nayoiona hapo siyo salama kabisa...Habari wadau!
kuna Chumba master 100,000/= kinapangishwa Ubungo Riverside
Malipo miezi minne (4)
#Nyumba INA fence
#Maji 24/7
#Usalama wa uhakika.
#wapangaji wawili
#Luku yako
Call/SMS :0620533957View attachment 1441342View attachment 1441342View attachment 1441341View attachment 1441342View attachment 1441343View attachment 1441344View attachment 1441345
Leo huku umefuata nn ww forum yako ile ya mipasho!mwambie boss aimarishe milango hata aweke grill mkuu, hiyo nayoiona hapo siyo salama kabisa...
Nimeangalia huo mlango...nanimewaza TV nimepata ya 1.3 Mil...yaniii ntamtamanisha kibaka bure tumwambie boss aimarishe milango hata aweke grill mkuu, hiyo nayoiona hapo siyo salama kabisa...
liangalie hilo la grill wateja watakuja kulia mkuu, its just a matter of timeLeo huku umefuata nn ww forum yako ile ya mipasho!
Huyo mwizi anaanzaje Ku jump hiyo fence labda ninja?Nimeangalia huo mlango...nanimewaza TV nimepata ya 1.3 Mil...yaniii ntamtamanisha kibaka bure tu
Nakazia na Madirisha sio salama kabisamwambie boss aimarishe milango hata aweke grill mkuu, hiyo nayoiona hapo siyo salama kabisa...
Una masikhara kweli wewe. hiyo siyo fence ya kuzuia mwizi, tambua pia fence haizuii mwizi kuiba bali uimara wa Jengo lakoHuyo mwizi anaanzaje Ku jump hiyo fence labda ninja?View attachment 1441481i
Chumba kimoja na choo cha ndaniChumba master kikoje au ni chumba na master,
Au ni sebule kubwa
Au ni chumba na corridor / veranda
Mwizi apapita apa tena kibakaHuyo mwizi anaanzaje Ku jump hiyo fence labda ninja?View attachment 1441481i
Kuna fence mbili unaingia geti hilo harafu kwa landlord unakutana na geti jingine LA tenants ilo ni maximum security ina electrical fence,hiyo nyumba huwezi iba labda km haujitaki.Mwizi apapita apa tena kibaka
Alafu hizo dirsha ulizo onyesha apo mbona kama ni nyumba tofauti uku naona Alluminium kule naona Nondo ya Nyavu..View attachment 1441521
Bora shule zifunguliwe tu vijana mnasumbua sana mitandaoni kwa Ku comment ujinga,ebu post getto lako tulione!Hakuna nyumba ya laki hapo
Acha utoto nipost ili iwejeBora shule zifunguliwe tu vijana mnasumbua sana mitandaoni kwa Ku comment ujinga,ebu post getto lako tulione!
hapo mwizi wala haitaji ngazi kupanda hicho kijiukutaMwizi apapita apa tena kibaka
Alafu hizo dirsha ulizo onyesha apo mbona kama ni nyumba tofauti uku naona Alluminium kule naona Nondo ya Nyavu..View attachment 1441521
acha ubabaishaji kubali tu kuwa nyumba unayodalalia haina usalama, mshauri boss wako afanyie kazi mapungufu uliyoshauriwa kisha njoo tangaza tena , haiwezekani ukaweka electric fence wakati milango na madirisha ya nyumba umeweka mbao tuKuna fence mbili unaingia geti hilo harafu kwa landlord unakutana na geti jingine LA tenants ilo ni maximum security ina electrical fence,hiyo nyumba huwezi iba labda km haujitaki.