Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Mtu anaomba kiwanja cha makazi, wakati huo ni karani wa Masijala, anajitahidi kucheza upatu akiwa mwajiriwa na anafanikiwa kununua kiwanja Boko, Salasala au Bunju miaka hiyooo.
Kuongeza kipato zaidi ya pension kwakua sasa hivi ni mstaafu anaanuma kujenga vyumba nyuma na pembeni ya nyumba yake.
Zamani wastaaafu walifuga kuku sikuhizi wameamua kufuga binadamu wenzao kwa mtindo wa kujenga chumba na sebule.
Wadada wa mjini hawapendi kushirikiana vyoo na wapangaji wengine. Hivyo ukitaka kupata mteja haraka weka choo kati ya chumba na sebule.
Mgao wa maji ni mara moja kwa wiki, land lady ana Sim Tank la litre 5,000. Inabidi ulale na majaba ya maji ili kuweka ustaarabu ndani kwako.
Kaya moja inaweza kuwa na watu 10+ ukiacha familia ya Land Lady na wapangaji wengine ni couples.
Hizi ni sawa na self catering dormitories mjini.