Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
- Thread starter
- #21
Life iş about planning, huyu dogo ali sacrifice vingi katika ujana wake. Kuhonga, kujirusha na vingine. Sasa hivi analia kivulini.Nina jamaa yangu, bado mdogo tu kwa standard zetu, ila ana apartments zake yaani hadi wivu unamuonea. Chumba-sebule, jiko na choo. Kaweka maji kwa kila mtu, luku, dish unakuja na king'amuzi chako na kupachika, heater, kijiko kina cabinets anapangisha 250,000 na watu wanazing'ang'ania. Zipo saba, bado single rooms kama tano hivi....kifupi jamaa stress za maisha kuhusu hela ya kusomesha madogo hana.