Chumba na sebule ya kupangisha vinaitajika maeneo ya Buguruni

Chumba na sebule ya kupangisha vinaitajika maeneo ya Buguruni

Kibereko

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Posts
383
Reaction score
908
Kunaitajika chumba kimoja na Sebule maeneo ya Buguruni.
Maelezo muhimu:
1.nyumba iwe kwenye mazingira mazuri.
2.nyumba isiwe na wapangaji wengi.
3. Kuwe na maji ndani na umeme au kama akuna maji basi yawe yanapatikana karibu sio mbaya.
4. Kodi iwe Elfu 60 mpaka Elfu 70.
Namba ya Simu 0714 768080.
 
Ni maeneo rahisi na karibu na huduma zao kijamii.

Mjini dakika chache tu. Safi kabisa.
 
Back
Top Bottom