Chumvi dawa bora kabisa kwa vibarango

Kubabuka ngozi kama ugonjwa wa vishilingi
Sasa si bora utumie dawa za hospitali kwa nini ujipake hiyo chumvi?

Maana kama nk vishilingi hiyo si Fangasi ya ngozi i.e Tinea Corporis na ina respond vizuri kwa dawa nyingi za fangasi.
 
Fungus wowote hawapatani ni chumvi,
Fungus anapenda sukari,ndo anagrow kwa raha,ndo maana ukiwa na deep fungus infection,inashauliwa kuepuka vitu vya sukari
 
Sasa si bora utumie dawa za hospitali kwa nini ujipake hiyo chumvi?

Maana kama nk vishilingi hiyo si Fangasi ya ngozi i.e Tinea Corporis na ina respond vizuri kwa dawa nyingi za fangasi.
Chumvi ni tiba mbadala kuna maeneo hizo dawa hazipatiakani lakini chumvi ipo
 
Ni hii chumvi anayoitangaza Mzee Majuto? NEEL SALT? afu Maulid Kitenge anajiita "CHUMVI" na yule Mchezaji wa Azam - Frank Domayo nae anajiita "chumvi" Sijui why!
 
Ni hii chumvi anayoitangaza Mzee Majuto? NEEL SALT? afu Maulid Kitenge anajiita "CHUMVI" na yule Mchezaji wa Azam - Frank Domayo nae anajiita "chumvi" Sijui why!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…