BALAGASHIA
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 392
- 383
Sugua kidogo sehem iliyo na tatizo saga CHUMVI iwe laini paka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji21] [emoji21]Sugua kidogo sehem iliyo na tatizo saga CHUMVI iwe laini paka.
Kubabuka ngozi kama ugonjwa wa vishilingiVibarango ni nini?
Asante kakaKubabuka ngozi kama ugonjwa wa vishilingi
Nami nasubiri jibu.Vibarango ni nini?
Nami nasubiri jibu.
Kubabuka ngozi kama ugonjwa wa vishilingi
Sasa si bora utumie dawa za hospitali kwa nini ujipake hiyo chumvi?Kubabuka ngozi kama ugonjwa wa vishilingi
Chumvi ni tiba mbadala kuna maeneo hizo dawa hazipatiakani lakini chumvi ipoSasa si bora utumie dawa za hospitali kwa nini ujipake hiyo chumvi?
Maana kama nk vishilingi hiyo si Fangasi ya ngozi i.e Tinea Corporis na ina respond vizuri kwa dawa nyingi za fangasi.
Chumvi inatibu vizuri?Chumvi ni tiba mbadala kuna maeneo hizo dawa hazipatiakani lakini chumvi ipo
NdioChumvi inatibu vizuri?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Ni hii chumvi anayoitangaza Mzee Majuto? NEEL SALT? afu Maulid Kitenge anajiita "CHUMVI" na yule Mchezaji wa Azam - Frank Domayo nae anajiita "chumvi" Sijui why!