Yes, salt is everywhere but "Neel salt ni muhimu sana kwa ukuaji wa akili ya mtoto wako" Sasa ni nani hapendi mtoto wake awe na akili? Hii inamaanisha kuwa chumvi nyingine sio nzuri kwa afya yako kwa mujibu wa tangazo lao. Matangazo yana nguvu nyingi ya kushawishi ubongo wa mtu. Kama tangazo hili litaendelea tena na tena na tena litasababisha watu wabadili fikra, mtazamo, na tabia zao dhidi ya chumvi nyingine zisizojitangaza soloing.
Hii ndiyo sababu Coca-Cola na pepsi tbl, tigo, voda, nk wanatumia bajeti kubwa sana kwenye matangazo ingawa wanafahamika na wana wateja wengi. Hivyo hata neel salt ikitangazwa intensively kwa muda mrefu hizo chumvi nyingine zisizo tangazwa polepole zitapotea sokoni.
Maziwa yako mengi lakini tangafresh yanatafutwa zaidi hapa jijini