Actually that is what made me to write this thread. It looks too huge budget to market just table salt. what is so special with this table salt? an ordinary local investor could not do this. I think the purpose is to eliminate all other existing species of table salts from the market, then monopolize the market. Under monopoly market prices become uncontrollable.Point taken,
Definitely that will encourage industrialization.
However, am still shocked by that marketing budget.
Kila nyumba kila mtu anatumia chumvi, hivyo kama ukimonopolize the market with your salt then, hata kama ukiiuza chumvi yako kwa sh. 1000 per 300g watu watanunua tu, hence, huge profit.It is one of the waste of Monopolistic Market
Kwa hiyo kabla ya Neel ulikuwa unafakamia tu?Wewe uko mbali sana na ukweli, duniani kote hata nchi zilizoendelea hawanunui bidhaa bila kufahamu umiliki wake, nani kutengeneza, viwango, expiry date, kodi nk. Wewe unafakamia tu. Ndio maana bidhaa zetu zinashindwa kupenya kwenye masoko ya nje.
He will not be able to monopolize, issue is distribution.Actually that is what made me to write this thread. It looks too huge budget to market just table salt. what is so special with this table salt? an ordinary local investor could not do this. I think the purpose is to eliminate all other existing species of table salts from the market, then monopolize the market. Under monopoly market prices become uncontrollable.
It is not easy bro, just look how big the market it is. Then think about investment on distribution.Kila nyumba kila mtu anatumia chumvi, hivyo kama ukimonopolize the market with your salt then, hata kama ukiiuza chumvi yako kwa sh. 1000 per 300g watu watanunua tu, hence, huge profit.
Yes, salt is everywhere but "Neel salt ni muhimu sana kwa ukuaji wa akili ya mtoto wako" Sasa ni nani hapendi mtoto wake awe na akili? Hii inamaanisha kuwa chumvi nyingine sio nzuri kwa afya yako kwa mujibu wa tangazo lao. Matangazo yana nguvu nyingi ya kushawishi ubongo wa mtu. Kama tangazo hili litaendelea tena na tena na tena litasababisha watu wabadili fikra, mtazamo, na tabia zao dhidi ya chumvi nyingine zisizojitangaza soloing.He will not be able to monopolize, issue is distribution.
Just look sodas distribution set up, then you will understand how hard it is. Because salt is everywhere.
Mzee mimi niko field, hao jamaa hawezi badili game la soko la chumvi hata waseme wameweka nini.Yes, salt is everywhere but "Neel salt ni muhimu sana kwa ukuaji wa akili ya mtoto wako" Sasa ni nani hapendi mtoto wake awe na akili? Hii inamaanisha kuwa chumvi nyingine sio nzuri kwa afya yako kwa mujibu wa tangazo lao. Matangazo yana nguvu nyingi ya kushawishi ubongo wa mtu. Kama tangazo hili litaendelea tena na tena na tena litasababisha watu wabadili fikra, mtazamo, na tabia zao dhidi ya chumvi nyingine zisizojitangaza soloing.
Hii ndiyo sababu Coca-Cola na pepsi tbl, tigo, voda, nk wanatumia bajeti kubwa sana kwenye matangazo ingawa wanafahamika na wana wateja wengi. Hivyo hata neel salt ikitangazwa intensively kwa muda mrefu hizo chumvi nyingine zisizo tangazwa polepole zitapotea sokoni.
Maziwa yako mengi lakini tangafresh yanatafutwa zaidi hapa jijini
Ni matumizi.mabaya kutumia budget kubwa kutangaza chumvi.Yes, salt is everywhere but "Neel salt ni muhimu sana kwa ukuaji wa akili ya mtoto wako" Sasa ni nani hapendi mtoto wake awe na akili? Hii inamaanisha kuwa chumvi nyingine sio nzuri kwa afya yako kwa mujibu wa tangazo lao. Matangazo yana nguvu nyingi ya kushawishi ubongo wa mtu. Kama tangazo hili litaendelea tena na tena na tena litasababisha watu wabadili fikra, mtazamo, na tabia zao dhidi ya chumvi nyingine zisizojitangaza soloing.
Hii ndiyo sababu Coca-Cola na pepsi tbl, tigo, voda, nk wanatumia bajeti kubwa sana kwenye matangazo ingawa wanafahamika na wana wateja wengi. Hivyo hata neel salt ikitangazwa intensively kwa muda mrefu hizo chumvi nyingine zisizo tangazwa polepole zitapotea sokoni.
Maziwa yako mengi lakini tangafresh yanatafutwa zaidi hapa jijini
Raisi angekuwa JK au muislamu yeyote,ungesikia chumvi hiyo inamilikiwa na mmoja wa wanafamilia wakeWazee huyu jamaa inaonekana kuwa amejipanga sana kibiashara kutokana na wingi na aina ya matangazo yake.
Nani amjua mwenye biashara hii kubwa na muhimu ya NEEL salt?
Kitengo chake cha masoko hakijui hata concept ya economics that's y anatanga na kubandika mabango kila mahali utazani anauzo soda. Siku akifankiwa kuwa na kiwanda cha soft drink ataweka matangazo hadi kwene nyumba za watu.Chumvi ina 'inelastic Demand' hakukuwa na haja ya kuitangaza namna ile.
Toa jibu kama unamfahamu mmiliki wa kampuni,hujui watu labda wanataka kutumia hiyo brand?!Ukishamjua mhusika wa hiyo kampuni itakusaidia nini mkuu.
If you win Customers' minds, then you have it all. But in our Local Market especially the Fast Moving consumables Goods Industry what matters is "PRICE", "AVAILABILITY" "VISIBILITY" and Lastly is AWARENESS.Haaa haaaa, Imebidi Nicheke huu Mpambano si Mchezo. "BRAND POSITIONING"
Definitely, at any given time have you stocked 5kg or 10kg of salt at your house ?Why is salt inelastic i.e. price change does not effect demand?
Chumvi ina 'inelastic Demand' hakukuwa na haja ya kuitangaza namna ile.
Hakuna kitu kama hicho ! Chumvi ikitangazwa sana unaweza nunua kutoka nusu kilo mpaka kilo 5 ?Chumvi inaweza kuwa na inelelastic demand lakini "Brand" ziko nyingi na matangazo yanaweza kuhamisha hi 'inelastic demand" kwa yule anayejitangaza.
Point taken,
Definitely that will encourage industrialization.
However, am still shocked by that marketing budget.