Chunga kauli mtandaoni

Chunga kauli mtandaoni

Habari wakuu kuna trend ya watu kutishiana vitu mtandaoni bila kujali sheria ya Tanzania inasema vipi.
Unakuta mtu anasema hadharani kamlawiti flani mtandaoni na bado anachekewa kabisa hii haiko sawa kisheria adhabu ya ulawiti ni miaka 30 jela. Miaka 30 sio midogo kwanini upate adhabu ya miaka hiyo??na upoteze maisha na malengo yako kwa kauli za ajabu ajabu??

Mambo ya kulawitiana ndio yamekuwa na nguvu kwenye mtandaoni na wengi wanajipa vichwa hawatajulikana don't fool yourself asee bwana. Mance Mello hawezi kutetea walawiti atatoa info zenu bila wasiwasi.

Na kuna wengine wanatoa kauli za ajabu ajabu na bado namba zao zipo mitandaoni najiuliza ni uelewa mdogo wa sheria ama ni ukubwa wa kichwa kuwa na akili kidogo??

Kwenye miaka hii ambacho technology imepamba moto angalia kauli zako Internet haifuti kitu ukiandika Leo miaka kumi kitakuwepo na kitatumika kukufunga.
Kuweni makini na kauli zenu.

Jioni njema
Unataka wrote tuseme viva pombe?
 
Wanaichukia mitandao lkn hapo hapo wanapitisha matangazo yao kwenye mitandao

Lukwafya
 
Ukisema umelawiti ni kosa kisheria! Utasema umelawiti hakuna mlalamikaji ila ikitokea wanaconnect dots utajikuta upo hatiani..!!!
Twende taratibu, ni kosa chini ya sheria ipi, namba ngapi ya mwaka gani na kifungu kipi? Wengine pia wanataka kujifunza. Hizo dots wanaziconnect vipi?
 
Kumtukana mtu "popoma" je adhabu yake hii ikoje? maana kuna mtu humu anajiita antibayotiki amezoea sana! ama hili halijatoholewa kuwa miongoni mwa matusi!?
 
Kwani si tunatumia majina feki na tuna Id nyingi hapa kulingana na matumizi
1.kuzungumzia siasa na mitusimitusi
2. Kuchangia hoja zinazohusiama na kazi unayoifanya
3. Kuombea papuchi kwa masingle mama & mashugamummy ya humu jf.
4.Kutafutia wachumba humu jf
 
Kwani si tunatumia majina feki na tuna Id nyingi hapa kulingana na matumizi
1.kuzungumzia siasa na mitusimitusi
2. Kuchangia hoja zinazohusiama na kazi unayoifanya
3. Kuombea papuchi kwa masingle mama & mashugamummy ya humu jf.
4.Kutafutia wachumba humu jf
Hiyo haikupi guarantee ya kutokuwa traced down ukamatwe muhimu angalia na kauli.
 
Kumtukana mtu "popoma" je adhabu yake hii ikoje? maana kuna mtu humu anajiita antibayotiki amezoea sana! ama hili halijatoholewa kuwa miongoni mwa matusi!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom