Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujumbe mubashala.....mwenye masikio haambiwi mara mbili unless asubiri atakaposikia taarifa kwamba mkewe kaingizwa guest house na njemba.
Kisayansi hakuna uthibitisho wowote punyeto inapunguza nguvu za kiume, magonjwa kama sukari yanachangia kupunguza nguvu za kiume. Wengi wao wenye matatizo ya nguvu za kiume ni yakisaikolojia zaidi. Period.
Nimecheka sana!Ni kweli maana wanawake wa sikuizi wanataka miguvu maana nao washajua masugu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaachaje kwa mfano.Oooooooh na hapo kuacha tusahau tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji22]
Yaani ndio nilikua namalizia kukitupa hapa
Dah...Hivi kweli hakuna kazi ya maana ambayo mwanaume anaweza kusifiwa zaidi ya hiyo?? Safari ya tz ya viwanda bado ndefu sana......
Siachi ng'ooKwa kujua madhara yake