Kilichofuata?Jamaa kamuomba Mungu....Ee Mungu nijalie kazi
niwe na mifuko imejaa hela kila siku, gari limejaa
mademu kibao, niwe nikifungua mdomo watu
wananisikiliza...wiki moja baadae jamaa akapata
kazi ya ukonda kwenye daladala
Hahahahahahaaaaa.
ha ha h..., yan we jamaa dahJamaa kamuomba Mungu....Ee Mungu nijalie kazi
niwe na mifuko imejaa hela kila siku, gari limejaa
mademu kibao, niwe nikifungua mdomo watu
wananisikiliza...wiki moja baadae jamaa akapata
kazi ya ukonda kwenye daladala