Chunga sana, Yasikukute Kama Yaliyomkuta Huyu Jamaa

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Jamaa kamuomba Mungu....Ee Mungu nijalie kazi
niwe na mifuko imejaa hela kila siku, gari limejaa
mademu kibao, niwe nikifungua mdomo watu
wananisikiliza...wiki moja baadae jamaa akapata
kazi ya ukonda kwenye daladala
 
Kilichofuata?
 
ha ha h..., yan we jamaa dah
 
Dala dala alilofanyia kazi wanaume walikuwa hawapandi au ?
 
Back
Top Bottom