Usitake kufanya hatujui ukweli. Ni hivi wapinzani wamekuwa wakijitokeza kupiga kura, na mwisho matokeo yanachezewa na hao wahesabu kura, sijui kura za maporoni. Katika mazingira hayo nani ataendelea kujitokeza kwenye kura zisizoheshimiwa? Watu hawajitokezi kupiga kura maana ni zoezi la kupotezeana muda kwakuwa watu wanakuja na matokeo mfukoni.
Mpinzani aende kwenye mkutano wa kiongozi kupanga maendeleo, kwani maendeleo yanapangwa na wananchi au viongozi? Isitoshe huwezi kuhudhiria kwenye mkutano wa kiongozi aliyeingia madarakani kwa kunajisi uchaguzi.