Babuu Wesaki Kilauwo
JF-Expert Member
- Jul 10, 2024
- 357
- 488
Ni matumaini yangu nawe ukagombee huko Njombe miaka ijayo ukianzia na Udiwani then Ubunge.Siasa inauwanda mpana leo nimetoa mtizamo kuhusu upinzani lakin kesho naweza nikajikita kwa chama tawala hivyo sioni kama kuna tatizo katika hili Muungwana
Ukisikiliza press ya Mnyika ya tarehe 7 , utaona bado anasisitiza watu wakapige kura ili kupambana na serilkali.Kama wananchi wanawaelewa, subiri uone idadi ya wapiga kura itakavyokuwa ndogo. Ama mwambie mtendaji wa mtaa wako aitishe kikao kisha uone idadi ya watakaohudhuria huo mkutano wake, kisha uje ulete mrejesho.
Mnyika yeye ni haki yake maana ni katibu mkuu wa chama, lakini hana uwezo wa kutulazimisha sisi wapiga kura tunaojitambua kuendelea kushiriki huo uhuni.Ukisikiliza press ya Mnyika ya tarehe 7 , utaona bado anasisitiza watu wakapige kura ili kupambana na serilkali.
Sasa apo ndio utaona msimamo wako na wengine mnaofanana unaakisi mtazamo wangu ulio jikita kua wafuasi wa vyama vya upinzani wengi hawajitokezi ama kushiriki katika chaguzi na hata mikutano ambako ndiko ajenda za ushindi zinapangwa.Mnyika yeye ni haki yake maana ni katibu mkuu wa chama, lakini hana uwezo wa kutulazimisha sisi wapiga kura tunaojitambua kuendelea kushiriki huo uhuni.
Usitake kufanya hatujui ukweli. Ni hivi wapinzani wamekuwa wakijitokeza kupiga kura, na mwisho matokeo yanachezewa na hao wahesabu kura, sijui kura za maporoni. Katika mazingira hayo nani ataendelea kujitokeza kwenye kura zisizoheshimiwa? Watu hawajitokezi kupiga kura maana ni zoezi la kupotezeana muda kwakuwa watu wanakuja na matokeo mfukoni.Sasa apo ndio utaona msimamo wako na wengine mnaofanana unaakisi mtazamo wangu ulio jikita kua wafuasi wa vyama vya upinzani wengi hawajitokezi ama kushiriki katika chaguzi na hata mikutano ambako ndiko ajenda za ushindi zinapangwa.
Hope unaielewa sasa hoja yangu!
Kwahiyo ukisusa si ndio kukiangusha chama chako . Nakukipa chama kingine kushinda kwa kishindoUsitake kufanya hatujui ukweli. Ni hivi wapinzani wamekuwa wakijitokeza kupiga kura, na mwisho matokeo yanachezewa na hao wahesabu kura, sijui kura za maporoni. Katika mazingira hayo nani ataendelea kujitokeza kwenye kura zisizoheshimiwa? Watu hawajitokezi kupiga kura maana ni zoezi la kupotezeana muda kwakuwa watu wanakuja na matokeo mfukoni.
Mpinzani aende kwenye mkutano wa kiongozi kupanga maendeleo, kwani maendeleo yanapangwa na wananchi au viongozi? Isitoshe huwezi kuhudhiria kwenye mkutano wa kiongozi aliyeingia madarakani kwa kunajisi uchaguzi.
Hata usiposusa bado ukipiga kura anatangazwa anayetakiwa na ccm. Hivyo kwenda kupoteza muda kwenye mstari wa kura ni upuuzi kama upuuzi mwingine.Kwahiyo ukisusa si ndio kukiangusha chama chako . Nakukipa chama kingine kushinda kwa kishindo