Mkubwa forgive up about creatin' poems etc !
Currently base with consultation to your Chungwa, if apology needed do that!
Poems sijui mistari, michirizi can not solve a circumstance, alafu shida yenu hamtaki kufunguka nini mbaya b'twin tutamisaidiaje?
Unaonaje?
Huu ni wimbo wa iliomtoa Suma Lee!.Chungwa nikalimega nikadhani chenza
Kumbe limeshamegwa tayari na waume wenza
Heri chungwa angeweka limao ili lifanane na chenza
Kwani ungeniambia ni chungwa unafikiri ningekuacha?
Mbona wengi wameolewa na chungwa na ndoa zinadumu?
Na wale wenye waliokuwa na chenza wamepoteza ndoa zao....
Ni kweli niliamini kwamba ni chenza
Kwa sababu wewe mwenyewe ulinieleza
Kumbe una chungwa tena dalanzi la Muheza
Ila huna haja ya kunikimbia ukiniona
kwangu mimi chenza na chungwa navyoona
Ladha ni ileile ukilitunza
Tulia mbembeleze mtoto arudi tunduni...
Mbona mi niliachika kwa masaa ila kwa busara na utulivu Amyner yuko mikononi safii hana presure
charminglady is yours forever
Acha kujitetea,we ndo umemvunjia ndoa.....platozoom Mungu ni wa wote,utapata mwingine kama CL.Mkubwa forgive up about creatin' poems etc !
Currently base with consultation to your Chungwa, if apology needed do that!
Poems sijui mistari, michirizi can not solve a circumstance, alafu shida yenu hamtaki kufunguka nini mbaya b'twin tutamisaidiaje?
HahahaAcha kujitetea,we ndo umemvunjia ndoa.....platozoom Mungu ni wa wote,utapata mwingine kama CL.
Hahaha
Kichwa kinaniuma eeh
Kamili gado...