Chungwa nikalimega nikidhani chenza....(Fumbo..Fumbua)

platozoom

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
9,424
Reaction score
11,320
Chungwa nikalimega nikadhani chenza
Kumbe limeshamegwa tayari na waume wenza
Heri chungwa angeweka limao ili lifanane na chenza

Kwani ungeniambia ni chungwa unafikiri ningekuacha?
Mbona wengi wameolewa na chungwa na ndoa zinadumu?
Na wale wenye waliokuwa na chenza wamepoteza ndoa zao....

Ni kweli niliamini kwamba ni chenza
Kwa sababu wewe mwenyewe ulinieleza
Kumbe una chungwa tena dalanzi la Muheza

Ila huna haja ya kunikimbia ukiniona
kwangu mimi chenza na chungwa navyoona
Ladha ni ileile ukilitunza
 
thamani ya mwanamke sio chenza nooo,
thamani ya mwanamke ni yeye jinsi alivyo...
 
Mkubwa forgive up about creatin' poems etc !
Currently base with consultation to your Chungwa, if apology needed do that!
Poems sijui mistari, michirizi can not solve a circumstance, alafu shida yenu hamtaki kufunguka nini mbaya b'twin tutamisaidiaje?
 
Hamna shida 'am just underline syntax massage
 
Chungwa nikalimega nikadhani chenza
Kumbe limeshamegwa tayari na waume wenza
Heri chungwa angeweka limao ili lifanane na chenza

Kwani ungeniambia ni chungwa unafikiri ningekuacha?
Mbona wengi wameolewa na chungwa na ndoa zinadumu?
Na wale wenye waliokuwa na chenza wamepoteza ndoa zao....

Ni kweli niliamini kwamba ni chenza
Kwa sababu wewe mwenyewe ulinieleza
Kumbe una chungwa tena dalanzi la Muheza

Ila huna haja ya kunikimbia ukiniona
kwangu mimi chenza na chungwa navyoona
Ladha ni ileile ukilitunza
Huu ni wimbo wa iliomtoa Suma Lee!.

Chenza ni mwanamke mwenye B, na Chungwa ni mwanamke ambaye B imeshatolewa!.
 
Mkubwa forgive up about creatin' poems etc !
Currently base with consultation to your Chungwa, if apology needed do that!
Poems sijui mistari, michirizi can not solve a circumstance, alafu shida yenu hamtaki kufunguka nini mbaya b'twin tutamisaidiaje?
Acha kujitetea,we ndo umemvunjia ndoa.....platozoom Mungu ni wa wote,utapata mwingine kama CL.
 
Back
Top Bottom