Chungwa nikalimega nikidhani chenza....(Fumbo..Fumbua)

Haya The secretary changamkia dolari za Pasco wa JF ......Najua utasema unazo..lakini si unaongezea tu
hiyo dola 100 naitoa kama appreciation ya kumuumbua mtu anayefanya plagilism, ukicopy na kupaste, lazima utoe source, usipotoa ni wizi, na its very simple kumkamata unacopy tuu sehemu ya huo wimbo, unauzamisha kwenye search, inakulink na original ilipoibiwa!.
 

Angalia usije kupata stress CHICHAT kama jukwaa la siasa..utakosa pa kwenda..maana hata jukwaa la Elimu limeingiliwa!!
 
Usijali..kauli yako imenipa faraja
farijika mwaya! ukiona wenzio wooooteeeee wameng'ang'ania machungwa na machenza, we hamia kwenye blue berrys, black, red, white berrys, kha! ya nini mbanano?! lol!
 
na mie sina chenza, chungwa, limao wala dalanzi! hapa ni ndimu changa, tena ndimu pori lol!

Mpaka mwili umezizima kwa baridi ya hudhurungi........!! So umeamka salama..uko poa..waonaje hali yako
 
farijika mwaya! ukiona wenzio wooooteeeee wameng'ang'ania machungwa na machenza, we hamia kwenye blue berrys, black, red, white berrys, kha! ya nini mbanano?! lol!

Una maneno mazuri...Sema naogopa wanga kama Erickb52, Bishanga na Judgment..lakini usijali..Nimependa mwandiko wako
 
Last edited by a moderator:

ngoja nikamwite suma lee hizo dola 100 utampa yeye halafu mi nitakupa dola 1000 upo hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…