Chungwa nikalimega nikidhani chenza....(Fumbo..Fumbua)

Chungwa nikalimega nikidhani chenza....(Fumbo..Fumbua)

Haya The secretary changamkia dolari za Pasco wa JF ......Najua utasema unazo..lakini si unaongezea tu
hiyo dola 100 naitoa kama appreciation ya kumuumbua mtu anayefanya plagilism, ukicopy na kupaste, lazima utoe source, usipotoa ni wizi, na its very simple kumkamata unacopy tuu sehemu ya huo wimbo, unauzamisha kwenye search, inakulink na original ilipoibiwa!.
 
Angalia usije kupata stress CHICHAT kama jukwaa la siasa..utakosa pa kwenda..maana hata jukwaa la Elimu limeingiliwa!!
 
Usijali..kauli yako imenipa faraja
farijika mwaya! ukiona wenzio wooooteeeee wameng'ang'ania machungwa na machenza, we hamia kwenye blue berrys, black, red, white berrys, kha! ya nini mbanano?! lol!
 
na mie sina chenza, chungwa, limao wala dalanzi! hapa ni ndimu changa, tena ndimu pori lol!

Mpaka mwili umezizima kwa baridi ya hudhurungi........!! So umeamka salama..uko poa..waonaje hali yako
 
farijika mwaya! ukiona wenzio wooooteeeee wameng'ang'ania machungwa na machenza, we hamia kwenye blue berrys, black, red, white berrys, kha! ya nini mbanano?! lol!

Una maneno mazuri...Sema naogopa wanga kama Erickb52, Bishanga na Judgment..lakini usijali..Nimependa mwandiko wako
 
Last edited by a moderator:
Secretary, ili iwe ni copy and paste, lazima na mimi hizo lyrics nitakuwa nimezicopy mahali na kuzi paste hapa!,
Nakuomba na wewe zitafute popote, ukizipata zibandike hapa na zimefanana, nakupa US $ 100!.

Kwa taarifa tuu, huo wimbo niliuzimikia sana, na ninao kichwani word to word, hiyo nimeandika toka kichwani, na kuna maneno kibao nimeyaandika jinsi nilivyoyasikia, naamini ikipatikana original lyrics yatakuwa tofauti!.

Ahadi yangu ya dola 100 inasimama, tena namuomba Invi aisimamie ili kuwafunza mafedhuli kama wewe kujifunza kuwa na shukrani!.

Pasco.

ngoja nikamwite suma lee hizo dola 100 utampa yeye halafu mi nitakupa dola 1000 upo hapo?
 
Back
Top Bottom