Shukrani sana kumbe ushaijaribu wewe basi ngoja nmwambia sasa hivi
Hilo tatizo lipo ndani ya mwili mkuu ni sugu sasa naona ni pm am try to help you
Mwambie anywe maji mengi na apake mafuta ya nazi tena ayatengeneze mwenyewe
@Iyokopo sawa mkuu ntamwambia, asante kwa ushauri wako
Si useme hapa hapa na wengine tufaidike mkuu
Hilo tatizo lipo ndani ya mwili mkuu ni sugu sasa naona ni pm am try to help you
Udongo ausage aweke na limao au ndimu apake inauma ila inasaidia
BROO hujatoa tiba ila umetoa ufafanuziIpo ivii siku zote baathii ya magonjwa ya ngozi huanzia ndani nakuibukia juu ngozi hii nikutomana na na kukosekana kufa kwa seli za kueza kuzalisha kinga ya mwili.ivyo basi ni muhimu kujua nini chakutumia ili kusalisha seli mpya ila sio madawa yenye chemical hata kidogo hayo yana punguza tuu tatizo na sii kumaliza tatizo