Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

pole kwa chunusi,
kuna suplement za forever living zinazotoa chunusi nazo ni alovera juisi-43,700 kwa lita,ila unatakiwa unywe angalau 3,liquid soap-22,450,propolis-57,100,garlic+thyme-31,500 na scrub-27,800 karibu hivi havina chemical ni nzuri kwa afya yako kama utahitaji utanipm ili tupeane namba za simu.
 
Persol 2.5 ni nzuri pia me nilikua navyo nimeyumia na zimepona zote.
 
Novela dogo katumia mpka persol gold viliisha tempo tu
 
Hi JF

Mdogo wangu amesumbuliwa na chunusi kuanzia akiwa form one hadi now yuko chuo lakini chunusi bado zinamwandama, ametumia mafuta mbalimbali zinapungua kidogo badae zinaanza.

Hali iliyosababisha mabaka meusi usoni.

Kwa watalaam mnaojua dawa za asili za tatizo hili msaada wenu unahitajika sana.

Cc: Mzizi Mkavu, Baosita na wengine wote wanaojua tiba hii.
 
Hilo tatizo lipo ndani ya mwili mkuu ni sugu sasa naona ni pm am try to help you
 
Ipo ivii siku zote baathii ya magonjwa ya ngozi huanzia ndani nakuibukia juu ngozi hii nikutomana na na kukosekana kufa kwa seli za kueza kuzalisha kinga ya mwili.ivyo basi ni muhimu kujua nini chakutumia ili kusalisha seli mpya ila sio madawa yenye chemical hata kidogo hayo yana punguza tuu tatizo na sii kumaliza tatizo
 
Aende kwa wataalamu wa magonjwa ya ngoz....neo medrol pia inasaidia ni lotion flan kadogo
 
Kuna hii kitu inaitwa Pro-active imewasaidia wengi sana....google kwa maelezo zaidi kuhusu Pro-active
 
Ipo ivii siku zote baathii ya magonjwa ya ngozi huanzia ndani nakuibukia juu ngozi hii nikutomana na na kukosekana kufa kwa seli za kueza kuzalisha kinga ya mwili.ivyo basi ni muhimu kujua nini chakutumia ili kusalisha seli mpya ila sio madawa yenye chemical hata kidogo hayo yana punguza tuu tatizo na sii kumaliza tatizo
BROO hujatoa tiba ila umetoa ufafanuzi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom