Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
kwa iringa je napateje?
Bado hatuna msambazaji Iringa lakinininakushauri tafadhali wasiliana na Mbeya - Soweto Haule - 0756994850 na 0784658349
Atakutumia kutoka Mbeya na utaupata siku hiyohiyo.
Asante
Zainab
Kwenye simu hupatikani mawakala nao wababaishaji tu sasa hii imekuwa huduma ya serikali au maana ofisi za serikali ndio tabu kweli kupata huduma. Simu hazipokelewi msg. hazijibiwi why? Sasa hapa si tunarushana roho tu.
Aunt Zainab's Natural Super Clay, sasa imeonesha matumaini makubwa kwa wale wenye vipara na wale wenye matatizo ya kung'oka nywele, nywele zisizo na afya, nywele zinazokatika katika, nywele zinazong'oka kwa kutumia madawa ya nywele yenye kemikali kali, nywele zinazong'oka kwa kuvaa sana mawigi, nywele zinazong'oka baada ya kusukia nywele za bandia kwa muda mrefu.
Pitia hii link kujionea mwenyewe: https://www.jamiiforums.com/jf-doctor...uper-clay.html
Kuna namba za simu zangu mbili, kama sipatikani moja jaribu nyingine, si unajua hizi simu za siku hizi zinavyomaliza betri. Namba zangu ni 0689771331 au 0756803528 (ya mume wangu).
Wakala yoyote anaekufanyia ubabaishaji mripoti tu hapa, kila kitu kipo wazi na hatutavumilia wateja wetu wafanyiwe ubabaishaji na mawakala tunaowatangaza hapa.
Pole kwa usumbufu.
wakala wako wa Lindi yani anaboaa vibaya mnoo hebu fikiria tangia ulivyonipa no.hapa siku ile nilimtafuta nikawa mpole nikasema hebu niendelee kusubiri nisije nikaja kupayuka huku kumbe sivyo alivyo..lakini wapiii hajibuuu na anasoma kabisaa
yani dada ile no.uliyonipa ya mtu wa lindi wala hajibu msgz wala nini anaboaa vibaya mnoo yani anaisoma kabisaa ila hajibu mpk sasa,hebu nitafutie utaratibu mwengine
Msaada jamani dawa na mafuta ya kuondoa chunusi na kuifanya ngozi iwe laini.