Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Paka Asali wakatbuso ukiwa safi na uiache kwa dakika 15 had 30 kisha nawa kwa maj ya uvuguvugu, fanya hvyo asubuhi na jioni baada ya kuoga!
 
Mm nilikuwa na tatizo hilo miaka mingi sio biashara ila sabuni na lotion ya zoa zoa zimenisaidia saaaana nilizitumia kwa muda wa miezi kama 4 mfululizo bila kitu kingine.
 
Njoo Mbezi tangi bovu ulizia mtaramu wa magonjwa ya ngozi, utapona na utasahau kama ulikuwa na chunusi
 
ahxanteni ntajaribu kwa option mlizonipa na walionitaka niwaPM ntawarud kutaka wanipe uxhaur zaid endapo izo option nlzopewa aztanisaidia. Nashkur
 
hyo personal tube sio cream iyoo...na hzo phamas znapatkana wap hpa dar
 
Hivi umewahi kwenda hospitali kwa daktari wa ngozi?

Kwakua unasema umejaribu vingi nafikiri ni wakati wa kufika hospitali kupata ushauri, kwasababu bidhaa itakayonisaidia mimi kutoa chunusi haimaanishi na wewe itakusaidia, ngozi zetu ni tofauti
 
duh hta hyo nmejarib wakat mwngn cpakai mafuta yyt kwa muda wa wiki 2 hata 3 lkn sijaona changes zzt
 
hahaaa Jiheshim mkuu....una uhakika na unachokisema....if is so in that case...bas wee utakua victim wa hlo
 
Back
Top Bottom