Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Aaa!!!wakati nipo mza nilikuwa peke yang nilikuwa na kutana nae mara moja kwa mwezi,baada ya kuja tbr,nikikaa kama miez 4 hv ndo akaja sasa tuakaishi pamoja tuna miaka miwil sasa tangu tuwe nae,na cjawhi kuchepuka kama itakuwa sababu
Sawa..fuatilia madawa kama ulivyoshauriwa..pole usinielewe vibaya ilikuwa ni katika kutafuta ufumbuzi wa suala lako.
 
personal forte cream 2.5 inapatikana maduka ya dawa ni nzuri na bei poa haizidi 4000

Inatengenezwa na wahindi, wenyewe hawatumii hii kitu, inauzwa kwa miafrika mijinga, sikukatazi kutumia ila baada ya kuitumia hutoweza kufanya kazi za Juani wala kutembea juani labda kama unaishi MUFINDI kwenye baridi
 
Pale nilipokuwa nyumbani mza sikuwa na chunus ila nilipofika tbr kikaz kama miezi sita hivi zilifutuka chunus za hatali na haziishi ila nina uso wa mafuta mengi nikioga nakaa kama nusu sa -sa 1 nakuwa kama nimepaka mafuta usoni,nitumie nni? Kupunguza hii hali chunus ndo zinaongezeka. Watalamu naomba mnisaidie

Tumia sabuni inaitwa AYURVEDIC TUMERIC SOAP, inauzwa sh elfu 2, unachukua kitaulo unaloanisha halafu unapaka hiyo sabuni ,
unasugua uso,
ukimaliza unaosha uso kwa maji safi.
Halafu unapaka hiyo sabuni usoni, unakaa dk 5, unaosha tena uso vzr,
Hakikisha unakausha uso wako kwa taulo au kitambaa kisafi,
Fanya hv asbh na usiku,
Kwa usiku ukishaosha usipake kitu kingine usoni.
Ila asubuhi, ukimaliza paka mafuta yako ya kawaida.

Kila la kheri.
 
Ushauri rahisi tu tafuta saloon nzuri hapo tabora yenye wataalamu wa scrubbing, Fanya scrub kila weekend then angalia maendleo yako. Ile itakusaidia kutoa vdudu vyote vinavyokusumbua na kukusababishia kusweti.
 
Sasa mbona wewe niki sima kinacho tembea sema bado serikali haija kushitukia... " natania, hey tumia detol sabuni, paka mafuta mgando"
 
Tatizo hizi nasikia kuna na feki nyingi. Hata mi nina na tatizo kama hili lakini hazijanisaidia

Nunua kwa maAgent si kila duka mkuu hata mm nazitumia kwa mwanza Agent yupo Tanganyika bus Holywood shop.
 
Usipake mafuta yoyote.

Mimi niko kama wewe niliacha kupaka mafuta miaka mingi baada ya hapo sijaona tena chunusi hadi sasa, niko baby faced kabisa.

Usipake mafuta aina yoyote.
 
Tumia tango kujisugulia usoni kisha nawa na maji ya uvuguvugu yaliyochanganywa na asali pamoja na mdalasini kwa wiki tatu mpaka mwezi uje utupe mrejesho humu
 
Nenda hospital kwanza. Hapa kila mtu ana dawa yake na matatizo hayafanani. Kama kupaka kitu kiwe cha asili, no chemical. Ila kama unapewa ushauri wa kitu cha chemical, usijaribu utajiharibu zaidi ya hapo. Nenda hospital uonane na dr. Wa ngozi utapona tu.
 
Nipo Nkinga grace product ntapataje pls nina shida inakaribiana
 
Nimesumbuka na hii kitu na ushauri wa kila aina ya mafuta nimetumia.
Solution ni kusugua uso kwa kitambaa, mm baada ya kuanza hii dozi kila nikienda bafuni naosha uso kwa sabuni yoyote ile sasa hivi uso wangu utadhani sijawahi kuugua chunusi
 
Tumia majani ya bange mabichi mkuu, ponda majani hadi yawe laini ili upate ulenda kisha paka usoni, angalia usije ichoma ikiwa kavu. Huku sisi tumeruhusiwa bange kama dawa.

Pale nilipokuwa nyumbani mza sikuwa na chunus ila nilipofika tbr kikaz kama miezi sita hivi zilifutuka chunus za hatali na haziishi ila nina uso wa mafuta mengi nikioga nakaa kama nusu sa -sa 1 nakuwa kama nimepaka mafuta usoni,nitumie nni? Kupunguza hii hali chunus ndo zinaongezeka. Watalamu naomba mnisaidie
 
Usichane nywele halafu usiruhusu nywele kuwa ndefu usijipake mafuta!! Mda wote tembea na kitambaa uwe unafuta uso uwe mkavu!!! Usidanganyike chunusi haina dawa hata mm nilikuwa na chunusi hadi watu wakasema ni ugonjwa but now nipo soft
 
uso.jpg



Hakuna njia sahihi ya kujizuia ila unaweza kufanya yafuatayo;




Mambo ya kufanya ili usipate chunusi










MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
Usichane nywele halafu usiruhusu nywele kuwa ndefu usijipake mafuta!! Mda wote tembea na kitambaa uwe unafuta uso uwe mkavu!!! Usidanganyike chunusi haina dawa hata mm nilikuwa na chunusi hadi watu wakasema ni ugonjwa but now nipo soft

Si kweli, chunusi zina dawa.

Zako labda zilikuwa ni chunusi nunda.
 
Pale nilipokuwa nyumbani mza sikuwa na chunus ila nilipofika tbr kikaz kama miezi sita hivi zilifutuka chunus za hatali na haziishi ila nina uso wa mafuta mengi nikVvizuri zaidi tumia hizo sabuni toka kigoma hizo za rangi ya blueanakaa kama nusu sa -sa 1 nakuwa kama nimepaka mafuta usoni,nitumie nni? Kupunguza hii hali chunus ndo zinaongezeka. Watalamu naomba mnisaidie
Acha kula vitu vya sukari sukari kwa wingi. Chukua limao kamulia mkononi kisha paka usoni acha kwa dk 10-15 kisha odha kwa sabuni ya kawaida. Paka lotion yakawaida. Acha kutumia vipodozi aina tofauti2 vitakuharibu. Vzr zaidi tumia hizo sabuni toka kigoma zapatikana kwa wingi hapo. Nina dawa ya kiasili lkn upo mbali sorry wale wa Dar wanaweza ni PM. All the best
 
Back
Top Bottom